Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,006
- 150,541
Ahaaaaaah sema nashukuru hujanipiga majungu japo mimi huwa nakupiga majungu ...ila kikao chenu cha jana sijui mlipata ata karanga za kutafuna[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4][emoji106] [emoji109]