Kifurukutu
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 4,673
- 6,752
AhahahMods pliz unganisha huu uzi na Makapuku Forum
Mjadala uishie hapa na ukajadiliwe huko MAKAPUKU forum
AhahahMods pliz unganisha huu uzi na Makapuku Forum
Mukongo aliniwakilishaaa[emoji4] [emoji4] [emoji4]Ulitafutwa sana
Natamani niwapasuee woteeBasi roho imekuuma mwenyewe.
Yani Manka wananiboaa mimi..waache tu mkuu
Makapuku one post 5+ likes kule hatuna kinyongo
Vp kuhusu lile la WAMWISHO NDIO MSHINDI......hadi leo anatafutwa mshindi
ha ha ha naendaga kuwasalimia kuna warembo piaYani Manka wananiboaa mimi..
Afu inaonekana ni vidume suruali
Nimeiona aisee, mapovu tu yamewajaaNaona bado hawa vingongo/vikongwe Forum bado wanatufuata fuata tu.https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/19324762kweli mti wenye matunda hupigwa mawe
Mukongo kwa story anatishaMukongo aliniwakilishaaa[emoji4] [emoji4] [emoji4]
Pole sana. Chukua hilo [emoji378] ukajilipue mbele ya safariNatamani niwapasuee wotee
[emoji4]Ahaaaaaah sema nashukuru hujanipiga majungu japo mimi huwa nakupiga majungu ...ila kikao chenu cha jana sijui mlipata ata karanga za kutafuna[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Nawaahidi nikirudi tu Joto City nitarudi humu kwa nguvu mpyaView attachment 460543 [emoji119] lee umeua ulipoweka logo ya KF kwenye gazeti
Tunarudi upya km kasi ya Sept kurudi nyumaThanks mkuuu....kapuku mwaka huu mbona watatuogopa
Ibrahim 4 PresidencyKwann
Si ukawakojolee Ngedere na KichumviNaona bado hawa vingongo/vikongwe Forum bado wanatufuata fuata tu.https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/19324762kweli mti wenye matunda hupigwa mawe
Ndio ni muhuni fulani hivi aliyeishia darasa la 5Kwa hiyo Bitoz ni muhuni flani😀😀 hivii😀