Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Hata mimi niliyapokea kwa mikono miwili. kwa soka la jana Spurs walinifanya nisahau kidogo hotuba ile ya Kagera
Jogoo kachana blauz
........
Hata mimi niliyapokea kwa mikono miwili. kwa soka la jana Spurs walinifanya nisahau kidogo hotuba ile ya Kagera
Nimeisoma mpaka episode ya 2 kasema nondo ingine j2.....nadhani Baba Bite ni sniperEbu patembelee kama una Mda sijui na mama Bite(shunie ) kama ashapatembelea
Uko sawa kabisa ngoja tusubirieNimeisoma mpaka episode ya 2 kasema nondo ingine j2 niko sawa?
Baba Bite atakuwa ni Sniper nini?Uko sawa kabisa ngoja tusubirie
Ata mimi baba Bite sijamuelewa 'nimeshindwa kuunganisha doti" kichwani ila sio mtu mzuri make aliwaharibia wakina cheupe mkomoanooBaba Bite atakuwa ni Sniper nini?

Ata mimi baba Bite sijamuelewa 'nimeshindwa kuunganisha doti" kichwani ila sio mtu mzuri make aliwaharibia wakina cheupe mkomoanoo![]()
![]()
![]()
We ni game tu unawaza!!! Baba Bite atakuwa ni member wa the board
Sipendagi upumbavu wakeLeo katika historia :amezalia mr comedian Bean
Mr. Bean ambaye jina lake halisi ni Rowan Sebastian Atkinson, ni mwigizaji mashuhuri Mwingereza ambaye amepata umaarufu mkubwa duniani kutokana na kuigiza filamu za komedi.
Akiwa amezaliwa Januari 6, 1955 na kushiriki kwenye filamu mbalimbali ikiwamo za ucheshi za Mr. Bean na Blackadder, Atkinson amekuwa tajiri mkubwa miongoni mwa waigizaji wa komedi na kuwa na pato linalokadiriwa kuwa la Dola 130 milioni. Umahiri wa filamu zake za komedi ndizo zinazofanya ziendelee kupendwa hadi sasa na hivyo kumwingizia pesa.(P.T)

Yawezekana mkuu ila angelisubiria kupambazukeWe ni game tu unawaza!!! Baba Bite atakuwa ni member wa the board
![]()
Huyu jamaa ni Profesa wa Uhandisi Umeme! Dah ama kweli kipaji hakizuhiliki yaani huwezi kugundua kwamba jamaa kabukua namna hiyo!Leo katika historia :amezalia mr comedian Bean
Mr. Bean ambaye jina lake halisi ni Rowan Sebastian Atkinson, ni mwigizaji mashuhuri Mwingereza ambaye amepata umaarufu mkubwa duniani kutokana na kuigiza filamu za komedi.
Akiwa amezaliwa Januari 6, 1955 na kushiriki kwenye filamu mbalimbali ikiwamo za ucheshi za Mr. Bean na Blackadder, Atkinson amekuwa tajiri mkubwa miongoni mwa waigizaji wa komedi na kuwa na pato linalokadiriwa kuwa la Dola 130 milioni. Umahiri wa filamu zake za komedi ndizo zinazofanya ziendelee kupendwa hadi sasa na hivyo kumwingizia pesa.(P.T)
Sipendagi upumbavu wake![]()
Ulatya elimu bure na siyo ya kupigana panga km BongoHuyu jamaa ni Profesa wa Uhandisi Umeme! Dah ama kweli kipaji hakizuhiliki yaani huwezi kugundua kwamba jamaa kabukua namna hiyo!
Kuna ishu ukifanya unashindwa kuficha na vitu vingine unafanya involuntarilyYawezekana mkuu ila angelisubiria kupambazuke
Ni kweli mkuu sema respect kwa the boldKuna ishu ukifanya unashindwa kuficha na vitu vingine unafanya involuntary
Ni kweli mkuu sema respect kwa the bold