shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,912
Haaahaaa, mimi ya Kagera niliziba pamba masikioniHata mimi niliyapokea kwa mikono miwili. kwa soka la jana Spurs walinifanya nisahau kidogo hotuba ile ya Kagera
Haaahaaa, mimi ya Kagera niliziba pamba masikioniHata mimi niliyapokea kwa mikono miwili. kwa soka la jana Spurs walinifanya nisahau kidogo hotuba ile ya Kagera
Hatumwi mtoto dukaniUmeangalia vizuri ratiba ya January to Feb kwa waliopo juu, hakika hutatamani kukosa mechi hata moja
Kama kawa kama dawaIla ...one day watarudi...
Vipepeo weusi ..story za mkuu the BoldWapi huko??
Good morning..Morning Family,ndo time za kuwahi tonge sa Hizi
..makapuku wamelala japo hawana helaGood morning makapuku[emoji1]
Mkuu ukilala ndio unafulia zaidi[emoji28] [emoji28] [emoji28] bora tu uamkw upambane..makapuku wamelala japo hawana hela
Morning hb..Morning Family,ndo time za kuwahi tonge sa Hizi
Morning kapyunguGood morning
Asante kwa magazeti ya leo mkuu LeeMichezo na burudani ...![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Karibu karibu ...sote tu-wazimaHodi hodi humu ndani... Hamjambo humu?