Tetramelyz
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 4,369
- 12,469
Wapi huko??Wale wapenzi wa kipepeo mkuu the bold kashafanya yake tukutane kule
Mukongo na shunie twendeni na wengineo
Wapi huko??Wale wapenzi wa kipepeo mkuu the bold kashafanya yake tukutane kule
Mukongo na shunie twendeni na wengineo
Vp shululuVp mkuu
Naona EPL sasa iko wazi 1to 6Niambie kaka
Nawe pia mkuuUsiku mwema wadau
Mpo ila mepoa sana....ina maana te qhole family imepatwa kwa wakati mmoj???Sisi tupo poa, sijui upande wako

Watu wameenda wapi??Powa
Poa Tetramelyz, vp pande hizoVp shululu
Ligi pendwa imeshika hatamu, uhondo umenoga sasa. Yeyote anaweza akatwaa ubingwa au kuikosa Top4Naona EPL sasa iko wazi 1to 6
Busy sana aisee, huwezi aminiMpo ila mepoa sana....ina maana te qhole family imepatwa kwa wakati mmoj???![]()
![]()
![]()
![]()
Hakika, nilipenda sana matokeo ya JanaLigi pendwa imeshika hatamu, uhondo umenoga sasa. Yeyote anaweza akatwaa ubingwa au kuikosa Top4
Fresh......mbona ni kimya sana humu. NowadaysPoa Tetramelyz, vp pande hizo
Ligi pendwa imeshika hatamu, uhondo umenoga sasa. Yeyote anaweza akatwaa ubingwa au kuikosa Top4

Umeangalia vizuri ratiba ya January to Feb kwa waliopo juu, hakika hutatamani kukosa mechi hata mojaLigi pendwa imeshika hatamu, uhondo umenoga sasa. Yeyote anaweza akatwaa ubingwa au kuikosa Top4
Vp diktetaLigi pendwa imeshika hatamu, uhondo umenoga sasa. Yeyote anaweza akatwaa ubingwa au kuikosa Top4
Hata mimi niliyapokea kwa mikono miwili. kwa soka la jana Spurs walinifanya nisahau kidogo hotuba ile ya KageraHakika, nilipenda sana matokeo ya Jana
Vp dikteta
Ila ...one day watarudi...Busy sana aisee, huwezi amini