shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Wapi hukoUko sawa kabisa ngoja tusubirie
Wapi hukoUko sawa kabisa ngoja tusubirie
Hata Matta ana mastersUlatya elimu bure na siyo ya kupigana panga km Bongo
Usishangae hata wanasoka ni wasomi
Mfano Michael Owen nafikiri ana Masters degree
........
Mhhhhhh*Wanandoa wa Kijapan wakiwa wanabishana hadharani*
*Husband: Takamushi jiku.*
*Wife :hashi jiku mishihe*
*Husband: inamoto kushini hat a pi*
*Wife: jejeta takuna mota shinita*
*Husband: kituya sitina kutara*.
*Wife: totori yatika miniya*
*kapuku ulivyo busy kusoma utadhani unaelewa kijapan kuwaga serious saa zingine*
![]()
Twende kazi tuNgoja nijaribu fani za watu ...sorry mkuu dikteta
Haina shidaNa siwezi sema kama ntaweza mkuu make mfano magazeti nikiwa naenda job ndo huwa najitahd kuweka na mchana ndo atlst nakuwa free kidogo mida ya lunch sema ntajitahd
Heri ya mwaka mpya afandeTutarudi mkongo wala usijalii
Tuko poa, sio kwa kuadimika hukoI miss u all hope mko poa
Mambo niajeeemakapuku oyee
mambo ni poa kapukuMambo niajeee
Pamoja sanamambo ni poa kapuku
shululu jina lako jinsia ganiPamoja sana
Me, wewe jeshululu jina lako jinsia gani
Hahahahaha inshallah hesabuni tuTunahesabu miezi ya kuwa na uncle
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Yea yeaKama kawa kama dawa
Nipe linki nikaichekiVipepeo weusi ..story za mkuu the Bold