Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,006
- 150,541
LEO KATIKA HISTORIA: 1929: Mfalme Alexander wa kwanza alivunja Katiba ya nchi ya Yugoslavia, kisha kuiongoza nchi hiyo kimabavu. Yugoslavia ilikuwa ni muunganiko wa nchi za Serbia, Solvakia na Kroshia ambazo zilitengana baada ya vita ya kwanza ya dunia.