Mwinyi_ole_mushi
JF-Expert Member
- Oct 29, 2015
- 1,636
- 4,420
Nina kovu mkononi kisa hii kitu noma sanaHuu ubunifu unapotea kabisa aisee, watoto siku hizi kila kitu ready made kichinachina.
Nina kovu mkononi kisa hii kitu noma sanaHuu ubunifu unapotea kabisa aisee, watoto siku hizi kila kitu ready made kichinachina.
Ndio ujiulize kama unakijua au la!!!![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
kiswahili kigumu kumbe ?
AmenWakuu makapuku wenzangu!
Nawatakia asubuhi njema ya mwisho ya mwaka 2016
Mwaka 2017 uwe wa mafanikio kwenu...

Pamoja sana mkuu werrasonAmen
Same to you brother![]()
Haaaahaaaa kwa hisani ya shululu,Udaku kwa hisani ya shululu![]()
![]()
![]()
![]()
Mtafute tuAisee ni mkali
Afande sacajoNawe pia
Una uhakika kuwa huna mimbaHapana aisee mm sina mimba sijui nan huyo aliyeandika yaan jf nikiingia naingia uku makapuku nakutoka ndio sijaona

Mukongo mamboAmen
Same to you brother![]()
Niko poa mkuu...namalizia mwakaHaaaahaaaa kwa hisani ya shululu,
Niajeee Lee
Hahaha etii unaranda randaa ...hahaMe Nilikuwa narandaranda nikakutana nayo nikaileta hapa uone
Safi, Nami najiandaa kwenda kwa mizungukuko ya mwaka mpyaNiko poa mkuu...namalizia mwaka
Pamojaa sana mkuuSafi, Nami najiandaa kwenda kwa mizungukuko ya mwaka mpya