Mwinyi_ole_mushi
JF-Expert Member
- Oct 29, 2015
- 1,636
- 4,421
Mutu ya congo upo vizuri
Uko poa mkuu...Lee Ahsante kwa mazageti man
Poa engineer wangu, za Sikukuu?Niajeee mukongo
[emoji4] [emoji15] unasemaaa?Mutu ya congo upo vizuri
Niko poa kamanda wangu.Uko poa mkuu...
mm sijala kiporoHaaaahaaaa
Cc Shunie
Mungu amuongozeeee ....sisi makapuku tupo nae katika maombiWana JF maombi yenu yanahitajika kwa shunie anaenda kujifungua mtoto leo
[emoji115] [emoji1] [emoji1]
Makubwa haya ndio naona apa nan aliandika hivyoWana JF maombi yenu yanahitajika kwa shunie anaenda kujifungua mtoto leo
[emoji115] [emoji1] [emoji1]
Huyo mtu aliyeandika ashindwe na uo uzi sijauona aisee tatizo jf naingia kwa kubeepMUNGU amtangulie huko na atoke salama. amen
Hapana aisee mm sina mimba sijui nan huyo aliyeandika yaan jf nikiingia naingia uku makapuku nakutoka ndio sijaonaMungu amuongozeeee ....sisi makapuku tupo nae katika maombi
[emoji50][emoji50][emoji50][emoji50][emoji50][emoji50] tumeingizwaa chakaa ??? Au hutaki tujueeHapana aisee mm sina mimba sijui nan huyo aliyeandika yaan jf nikiingia naingia uku makapuku nakutoka ndio sijaona
[emoji50][emoji50][emoji50][emoji50][emoji50][emoji50] tumeingizwaa chakaa ??? Au hutaki tujueeHapana aisee mm sina mimba sijui nan huyo aliyeandika yaan jf nikiingia naingia uku makapuku nakutoka ndio sijaona
Muntuuu ya kabila mbona iko watuletea taarifa siyo ???Wana JF maombi yenu yanahitajika kwa shunie anaenda kujifungua mtoto leo
[emoji115] [emoji1] [emoji1]
Hapana lee empire si kweli kwanza humu anaenijua n mmoja tu uyo aliendika ata hanijui sijui nan Mungu wangu sina mimba mbona ilo jambo la kheri tu aisee kutokuingia mara kwa mara mtu unaweza ukaanzishiwa uzi ukatukanwa usijue[emoji50][emoji50][emoji50][emoji50][emoji50][emoji50] tumeingizwaa chakaa ??? Au hutaki tujuee
[emoji50][emoji50][emoji50][emoji50][emoji50][emoji50] tumeingizwaa chakaa ??? Au hutaki tujuee
Ndio mana kuna mtu alinipa dongo sijamuelewa kuwa kuna kashfa yangu nzito asee sijui nn kiliongelewa uko uo uzi ulikua linMuntuuu ya kabila mbona iko watuletea taarifa siyo ???
Fuata hiyo link uone[emoji4]Makubwa haya ndio naona apa nan aliandika hivyo
Imefutwa papaa ulikua linFuata hiyo link uone[emoji4]
[emoji56] [emoji56] [emoji56][emoji50][emoji50][emoji50][emoji50][emoji50][emoji50] tumeingizwaa chakaa ??? Au hutaki tujuee
Ni habari niliikuta hapa jf nikawawekea link mkampe Hongera[emoji85]Muntuuu ya kabila mbona iko watuletea taarifa siyo ???
Duuuuuuh pole ila aliefanya ivo amekoseaa ...Hapana lee empire si kweli kwanza humu anaenijua n mmoja tu uyo aliendika ata hanijui sijui nan Mungu wangu sina mimba mbona ilo jambo la kheri tu aisee kutokuingia mara kwa mara mtu unaweza ukaanzishiwa uzi ukatukanwa usijue