Makapuku Forum

Makapuku Forum

aisee kazi ipo sijatukanwa uko kweli ila nitamjua tu aliyepost quiqley kama alisoma ataniambia
Mimi nilivoona notification kutoka kwako automatically nilijisemea kimoyomoyo shunie sio wa mchezo mchezo ...nilijua fika umekuja kutapa mrejesho kama ni wa kike au kiume[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
inabid nicheke tu ila huyo mtu kanivuruga sana unajua siku hiz jf siingiii nikiingia naingia uku na kutoka ndio mana
 
Back
Top Bottom