Sinoni
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 7,043
- 12,527
niaje nahrene hajafika bado?Aje ommy
niaje nahrene hajafika bado?Aje ommy
nadhani wakati mwingine tusiwe wepesi wa kukubali hoja nyepesi kama hizi wapewe ushirikiano upi wakati humu watu tunatumia ID fake mm naona hao wametumwa tena ni virus wabaya sana tuwaogope kama ukoma na naomba wapewe ban wanataka kuleta mambo ya Fb na whatsaap unajua kuna watu wapo wana mapepo ya kukosanisha jamii wao kila watakapoenda wakitoka wanaacha watu hamko salama

si bure ngoja nikugongee demu wakoAje ommy
Ahsante sana mkuu busegwe nilikua nimeshapoteza raha kwa kuwaza ban yako....nimegaili sitampiga ban tena wakati mwingine ndio tunajifunza mazingira ya kuishi na wajukuu
Mie nilitoka home nikaenda kufatilia madeni yangu, nilimuacha anajiandaa kwenda kanisani.Hamuendi kanisani pamoja?
Hahhaaaa lakin ungeweza kuanzia kanisani kwanzaMie nilitoka home nikaenda kufatilia madeni yangu, nilimuacha anajiandaa kwenda kanisani.
Jimena jana jioni ulitafutwa sana humu ulikua unalia wap wkend yako?Nimefurahi kukuta wote mko sawa
Finally iam here, tulisongeshe tuMie nilimiss uwepo wake TEAM MAKAPUKU.
Niliamua kutoka kidogo ili nione wangapi mtanimiss.....Jimena jana jioni ulitafutwa sana humu ulikua unalia wap wkend yako?
Kapuku habari za jioni....
Leo naomba likes. Jaman zizidi saba .....
Kwann mods wanaiba likes zetu? Kwanini swala LA likes halijarekebibshwa???
Kapuku tunataka likes ziwe kuanzia
20 per comment moja
Mi mwenyewe ni mmoja wao afu kuna huyu sizzya007 na wengine kibaoNiliamua kutoka kidogo ili nione wangapi mtanimiss.....
Hivi hao waliokuwa wananitafuta ni kina nani? Mana nimekuta texts za kumwaga na sikuweza kusoma zote
Kama na sizzya007 pia alinimiss basi mfikishie salamu angu huko aliko, mwambie nimerudi nikiwa buheri wa afyaMi mwenyewe ni mmoja wao afu kuna huyu sizzya007 na wengine kibao
Well said chief... Kweli kabisa hata mimi hilo jina sijalipendaSijiiti mkongwe wala kapuku( japo hili jina silipendi kutokana na maana yake halisi) katika ufuatiliaji wa jf lakini ukweli utabaki pale pale kuwa jf ya siku hizi imekosa msisimko kama ule wa zamani ukiyatoa Yale majukwaa ya chini yasiyohitaji fikra pevu.....
Matusi ,kejeli na personal attacks zimezidi sana...hii ni ID ya pili baada ya ile ya kwanza kusumbua na nimekuwa nikichangia hoja mbalimbali hapa bila kuhisi kubaguliwa...
Ukitaka ujione sio mpya hapa .. Jaribu kupitia thread zilizopita japo kwa uchache ili upate fikra za ziada na utamaduni wa jf..ukichangia vitu vyenye kuongeza data ama mvuto kwa watu..lazma utapata replies na likes pia ila kama unachangia hoja kawaida ama kwa matusi ni lazma uhadhirike na kutupwa katika dustbin .....
Kuna watu wapya wapo vizuri ila wengi wao ni dissapointing na hawaelewi mipaka yao kwa mfano Mimi mwenyewe huwezi kunikuta nachangia sana katika international forum kwa kuwa sina ujuvi sana huko hivyo hukaa pembeni na kujifunza zaidi...
Kukaa kimya ili ujifunze si ujinga ila kuongea vitu visivyo na maana ni ujinga mkubwa sana..
Simhukumu mtu kwa muda aliokaa humu ila michango yake...
KUWA NA STAHA,ELEWA MIPAKA YAKO NA UWE NA MOYO WA KUJIFUNZA.. Maana jf ni DARASA HURU
Cheers Comrade...
mkuu huwa sifichagi visivyo na muonekano machoni bali vile vivutiavyo mwilini.. nimejaribu kwenda na vina lakini nimeshindwa
Cheers Comrade...
Na tunamuahidi bwana busegwe hatutarudia tena...