Makapuku Forum

Makapuku Forum

bfd9de83d1dea5cf89863305d9982ec3.jpg
 
Wamekutukana wapi mkuuu
Rudi nyuma huko Jana wakongwe wameanzisha thread "Hatimae matabaka yameingia Jf" na kuandika makorokoro na matusi kibao dhidi ya MAKAPUKU Mimi nilikuwa nawasoma tu ....
Sasa hivi Mods wameufunga na kuuleta hapa...si WLIZOEA KUBEBWA wakafikiri moderator atawakaushia TU...
.........................
 
Rudi nyuma huko Jana wameanzisha thread "Hatimae matabaka yameingia Jf" na kuandika makorokoro na matusi kibao dhidi ya MAKAPUKU Mimi nilikuwa nawasoma tu ....
Sasa hivi Mods wameufunga na kuuleta hapa...si WLIZOEA KUBEBWA wakafikiri moderator atawakaushia TU...
.........................
Kwa Hiyo mods wameuunganisha na huu????
 
Baada ya kupeana like za kutosha na kusapotiana kwa namma moja au nyingine, napendekeza kuanzia sasa kuwe na kampeni #follow me & i will follow you back. Hii itasaidia kupeana sapoti na kusaidiana tukiwa kwenye Majukwaa mengine ...

kiwelu
 
Rudi nyuma huko Jana wakongwe wameanzisha thread "Hatimae matabaka yameingia Jf" na kuandika makorokoro na matusi kibao dhidi ya MAKAPUKU Mimi nilikuwa nawasoma tu ....
Sasa hivi Mods wameufunga na kuuleta hapa...si WLIZOEA KUBEBWA wakafikiri moderator atawakaushia TU...
.........................
Nasikitika sana kutouona huo uzi
 
Baada ya kupeana like za kutosha na kusapotiana kwa namma moja au nyingine, napendekeza kuanzia sasa kuwe na kampeni #follow me & i will follow you back. Hii itasaidia kupeana sapoti na kusaidiana tukiwa kwenye Majukwaa mengine ...

kiwelu
Tulishaifanya hiyo mkuu, kumbe we hujapitia posts za nyuma, hapa pia utaratibu ni huo huo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom