HOPECOMFORT
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 3,926
- 6,669
Baba mtumishi ni wewe huyu!!! Una mwaga mashairi ajabu!!Hata samaki wenye majina mabaya ndo watamu..eg changu ndo samaki mtamu...we waache hawezi kutamka...jambilo unatamka...jeimbilio
Baba mtumishi ni wewe huyu!!! Una mwaga mashairi ajabu!!Hata samaki wenye majina mabaya ndo watamu..eg changu ndo samaki mtamu...we waache hawezi kutamka...jambilo unatamka...jeimbilio
Oooh darisalama mkuu pole kwa usumbufu, inawahusu makapuku Wa darisalamaMvua zinanyesha wapi mkuu
Lizzie umeamua kutuangalia sasa eeeNiko poa shemeji
Mama mtumishi huyo!! Kumbe mnakua hivi...Ha ha hahaaaaa....wewe ndo umezidi kunivunja mbavu...mimi nitachagua kukuita nipendalo..."Jeimbilio my beibe"
Yeah nawatizama kwa ukaribuLizzie umeamua kutuangalia sasa eee
Marahaba. HujamboShikamoo... Mi mwenyewe mtoto
Yeah nawatizama kwa ukaribu
Nyie huko hata manyunyu tu ni mafuriko.. Mkiongezea na Yale machemba yenu basi balaa tupuOooh darisalama mkuu pole kwa usumbufu, inawahusu makapuku Wa darisalama
Baba mwosha huoshwa, jana nilifungisha ndoa 2, vijana leo wameamka wanafurahi san, wakasema lazima mtumishi nae apate jiko ili awashauri washirika, ndo patience123 nae kaitika kijana angu, lete habariBaba mtumishi ni wewe huyu!!! Una mwaga mashairi ajabu!!
Amekwenda yeye na amaizing patakatifu pa Bwana kupokea maono ya couple nyingine...tuwasuburi tuone watanena lipi jipya.@Manuu tafadhali msijifungie sana,maono yasije kuyeyukia huko ndani.Hii ck imekua fupi sna, shem manuu uko wap?
Utakavyo my swirr cna nenoMama mtumishi huyo!! Kumbe mnakua hivi...
Hapana, wakati huu ni mvua ya hakika, chemba kama dawa mkuu ni shidaNyie huko hata manyunyu tu ni mafuriko.. Mkiongezea na Yale machemba yenu basi balaa tupu
Mkuu mbona unataka kuzidisha tatizokwanini wasingejiita nyumbu forum
Yes..mahaba hayamjui mama mtumishi,bali.mama mtumishi ndiye anayajua mahaba.Mama mtumishi huyo!! Kumbe mnakua hivi...