Makapuku Forum

mkuu umenena vyema sana

na ambao sio makapuku wala wakongwe wanakutana wapi na kila jumangapi?....am kiddin'

Hao labda na sisi tuanzishe jukwaa letu:

Hili inabidi lichukue na wasio na vyama, wasio na dini, wasio na mlengo wowote juu ya single mothers wala wadada over 30, wanaume wasio na upande kati ya Dar na mikoani na neatrals wote.
 
tatizo lao wanataka umaarufu wakati wamefika jana halafu wanataka kuwa sawa na kina lala
Point mkuu! Wanajiunga wiki hii wiki inayofuata na yeye awe "expert member", trophy poin 500, likes 4000..
Alafu sijaelewa kwann wanalalamika eti hawapewi likes
!! likes haziombwi ukiongea point watu watalike ukiona unapost kibao lakini hakuna likes unatakiwa uongeze kutanua misuli yako ya ubongo!!
But nawaelewa sana makapuku, mmekataa kufa kijerumani mmepaza sauti!!! Ila prezidnt wenu Bitoz huyu sio kapuku mwenzenu maana anawashindg umaarufu mpaka wakongwe
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…