Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kama anavyosema UncleBen, hili swala la matabaka siyo geni JF, mifano michache ni:-

- Wanawake over 30 wanavyobaguliwa humu (kwa sasa naona kama imepungua kidogo)
- Single mothers kila siku wanapondwa
- Nyumbu (aka wazungusha mikono) vs Lumumba BK7
- Wagalatia vs Wazee wa milipuko
etc

Hawa Makapuku wameenda next level kutengeneza forum yao, kama hawamtukani mtu mi naona sawa tu.
mkuu umenena vyema sana

na ambao sio makapuku wala wakongwe wanakutana wapi na kila jumangapi?....am kiddin'
 
majukwaa ya wakubwa ndo yapi hayo?
Jifunze kusoma na kuelewa, Chitchat ndio jukwaa sahihi kwa porojo zote, na jukwaa la wakubwa lipo moja tu access anatowa Invisible, ila jukwaa kama la siasa ni makosa kuleta porojo kule kuna Top seniors wa nchi tupo nao kule na ndio source ya habari kwa media za Bongo.
 
f80eb0d0abfa8a2715b212da481c5887.jpg

Blauz inazidi kuchanika

.......................
 
Haya wapendwa...

Kuna mashamba wanakodisha ni sh. Elfu hamsini (50000) tu kwa eka moja huko vijiji vya mkulanga (pwan) si mbali sana na Dar

Ulimaji wa tikiti maji hauhitaji mvua bali ni kilimo cha kumwagilia

Kilimo hiki kinachukua siku60 toka Siku ya kwanza kupanda mbegu hadi kuvuna

Mwakajana nililima eka mbili
Na mtaji wake ni ml. 1.8 hadi ml. 2 kwa heka zote mbili

Hiyo gharama ni ya vitu vyote yani nimejumuisha had mafuta ya gar siku nilizokuwa naenda shamba .....

Mbegu yake inauzwa laki mbili kwa nusu kilo inaitwa Sukar F1 na nuau kilo inatosha eka moja hivyo ekari 2 ni kilo moja

Kilimo hiki kinahitaji monitoring ya hali ya juu ili usipate hasara..

Kule shamba (mkulanga)kuna vibarua ila wanahitaj usimamiz kwan mnajua watu wa pwani si wachapakazi sana....

Msimu mzur wa kilimo hiki ni kuanzia mwez wa tano had wa Tisa ....inabid mwez wa Tisa uwah kulima ili usikutane na matunda sokon Yale ya November mwshoni

Eka moja ikihudumiwa vizur inatoa tani 6 yaani gar mbili za tani tatu na msimu mzuri ni milion1.8 to ml 2 hivyo ukilima eka mbili una tani 12 means gar 4 za tani tatu...hapo huwez pata chin ya ml.6 ukirudisha gharama uliyotumia unabak na akiba unajiongeza tena...

Kama hujaelewa ruksa kuuliza

Masoko yapo kwan kipind cha kiangaz tikiti ni dili sana

Narudia tena usimamiz wa karibu unatakiwa. shambani...
 
Mko tayar nilete maujuz au ntawaboa???
Hebu twende taratibu, kila safari haikosi wakubwa, hebu nenda jukwaa la Ujasiliamali ili uone hicho unachotaka kushare hapa kipo kule jukwaa husika au hakipo?

Inawezekana bado mnaunderestimate the power of JF, hapa jipya labda mtu aje na picha aliyopiga selfie mbinguni.
 
Hebu twende taratibu, kila safari haikosi wakubwa, hebu nenda jukwaa la Ujasiliamali ili uone hicho unachotaka kushare hapa kipo kule jukwaa husika au hakipo?

Inawezekana bado mnaunderestimate the power of JF, hapa jipya labda mtu aje na picha aliyopiga selfie mbinguni.
Matola huko nashinda kila Siku...ila sio vibaya nikiwashirikisha wenzangu hapa ili kama kuna MTU hajawah kwenda Kule apate pa kuanzia...


Tupo hapa kuelimishana na sio kukomoana..

Kama unajiona mkongwe nenda kule.

Daaahhh yan watu kama nyie hamfai katika jamii hii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom