Linamo
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 9,976
- 24,498
AsanteNami nikutakie jumapili yenye heri na fanaka ndg ..
AsanteNami nikutakie jumapili yenye heri na fanaka ndg ..
KaribuMshana jr.....nna ombi binafsi
Noted...! Lete khabariUnazikumbuka zile harakati zangu za kusaka ubavu wangu😱
Noted...!
Nshakusoma kuwa mpoleJana zilifikia hatua nzuri untill ubavu to be alivyopotea ghafla nisijue kapotelea wapi, sasa kama umebeba kioo chako ebu nisaidie kunichekia yuko wapi huyu kiboko yao bi jimena??!
Ni njema kabisa. Ndo natoka kwenye ibada ya Misa TakatifuAsubuhi ni njema Mkuu.
Hata sie tumekumiss sana Mshana Jr.Nimeimiss forum najiandaa kurudi Dar huku ni mvua mwanzo mwisho
AaaamenHata sie tumekumiss sana Mshana Jr.
Safari yako iwe nzuri na ufike salama kwa uwezo wake Mwenyezi Mungu.
Usisahau kuniombea mimi mkosefu.Jamani kwema humu?? Napita nawahi ibada ntarud
Upendo daima.Aaaamen
Ukiwa unasubiri kuta unatafuta kimwana mwingine, maana huyo ameshaanza kuchacha.Kweli ngoja tusubiri tu.
Na Ruwa akutarame ..Asante
KF ya wapi hiyo Mkuu?Upungufu wa majina ya kike hapa KF umechangia kwa kiasi kikubwa hii thread kuyumba..
kama kawa mnyama unyamani .. Toto imekula kwake safari hii![]()
Mkia v Toto
Saa 10:00,jioni
.................
Kwenye Misale tupo mwaka gani kwa sasa?Ni njema kabisa. Ndo natoka kwenye ibada ya Misa Takatifu