Makapuku Forum

Makapuku Forum

1460840089904.jpg
good night makapuku
 
Ni kumbukumbu tu
kwa sie tuliyokuwa watundu utotoni......

Unatumwa dukan ukanunue mafuta ya kupikia unapewa 1000/= hafu ww unaamua kupitia sehem unanunua andaz la sh mia ili ukanunue mafuta ya 900/=
Na ukafika wanakouza mafuta wamefunga....

Hahahaha.....

Apo ndo kutafuta mafuta mpaka phamacy
 
Mkuu umeshaamka nn au uko kwa mechi za ugenini?
 
Good morning ladies and gentlemen.

Tuamke wale wenzangu na mimi tukasali
Mungu ni mwema katuamsha tena ni vizuri kwa wale tunaosali siku ya leo tukahudhuria nyumba za ibada...muwe na asbh njema watu wa Mungu
Mmeamkaje wapendwa?
Siku ya ibada Leo,tujitahid tuwahi
Kanisani.....

Jumapil njema
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom