EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 11,115
- 25,414
Asubuhi ni njema Mkuu.Good morning ladies and gentlemen.
Tuamke wale wenzangu na mimi tukasali
Asubuhi ni njema Mkuu.Good morning ladies and gentlemen.
Tuamke wale wenzangu na mimi tukasali
Kapukuz tunakutakia safari njemaNimeimiss forum najiandaa kurudi Dar huku ni mvua mwanzo mwisho
Narudi tulisongeshe nimemiss viwanjaKapukuz tunakutakia safari njema
Tumemiss swaga zako
.............
Poa kakaNarudi tulisongeshe nimemiss viwanja
Swalama kabisa mkuuHabari za asubuhi Team Makapuku!
Kweli ngoja tusubiri tu.Umeibiwa huyo, anatumika kwa weekend labda subiri kuanzia jumatatu.
Pole kaka.
Sasa umeanza lini kutumia usafiri Wa kawaida?Nimeimiss forum najiandaa kurudi Dar huku ni mvua mwanzo mwisho
Mkuu bora urudi tu,huku kuna kesi ya kujibu.Nimeimiss forum najiandaa kurudi Dar huku ni mvua mwanzo mwisho
Safari kuna mabadiliko kidogoSasa umeanza lini kutumia usafiri Wa kawaida?
We we Si unapandaga fisi.....
Pia unauwezo Wa kuzuia mvua

Poa mkuu ibada njema, usisahau kutoa sadaka ya Noti.Jamani kwema humu?? Napita nawahi ibada ntarud
Mmh hii ni blinking news haya kunani tena?Mkuu bora urudi tu,huku kuna kesi ya kujibu.
Inabidi prezda atangaze hali ya hatari,au ikiwezekana akachukue kontena moja la wanawake kule Eritrea.Upungufu wa majina ya kike hapa KF umechangia kwa kiasi kikubwa hii thread kuyumba..
Good morning mkuu sumbaiGood morning kapukuuuu.....
Mliokatika ibada msisahahu kutuombea.
Na pia kuiombea thread hii
Siku hazifananiUpungufu wa majina ya kike hapa KF umechangia kwa kiasi kikubwa hii thread kuyumba..
Usiwe na haraka,ukifika nyumbani kwako uniambie nikutumbulie jipu...Mmh hii ni blinking news haya kunani tena?
Usiwe na haraka,ukifika nyumbani kwako uniambie nikutumbulie jipu...
