Makapuku Forum

hii list ya majina naiona sana kwenye MMU FORUM,itakuwa mmevamia mademu wa wakongwe na mmepigwa vya mbavu,mnalilia mnaonewa
Sikujua kama kuna mademu wa wakongwe.na kuwa Mkongwe ni vigezo gani vimetumika? Pili mbona ata huko kwa makapuku naona yale yale full kujuana na kadharika. Tuwe wamoja tu maana wengine humu ata mtu 1 hatumjui.
 
Ni kweli makapuku hawajatukana mtu ,ila pitia huu uzi uone wanajiita wakongwe wanachosema ,kuna mmoja kasema makapuku ni wanuka mkojo sijui ,wakati kule kwenye forum ya makapuku sijaona sehemu wametukana mtu ,
 
Nafikiri hawana hoja ya msingi zaidi ya kutaka kuonekana pasipo kuwa na kitu chochote cha maana....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…