Watu wanadharau sana yan wanatuona sisi kama watoto vileRelax shemeji yangu Hayo mbona ya kawaida sana humu
Halafu nasikia manu anatokea taarimee... Nilisha muonya peter lakini asikii
Unafikiri wenzio wanafikiri hivyo.Watu wanadharau sana yan wanatuona sisi kama watoto vile
Hawajui wengine tunaondoa stress humu ndan
Mbona hujaniambia mlipofikia au hamkuenda? mana naskia kulikua na bonge la mvua maeneo hayoOkay honey
Asante Mwanasheria wangumwanasheria wa makapuku hapa ..
Tuliishia mapinga, mvua ilikuwa kubwaMbona hujaniambia mlipofikia au hamkuenda? mana naskia kulikua na bonge la mvua maeneo hayo
Amazing Ile ofa hukuiona?Watu wanadharau sana yan wanatuona sisi kama watoto vile
Hawajui wengine tunaondoa stress humu ndan
Hapo haponi mtu
PotezeaWatu wanadharau sana yan wanatuona sisi kama watoto vile
Hawajui wengine tunaondoa stress humu ndan
Asante UncleBenNi kweli makapuku hawajatukana mtu ,ila pitia huu uzi uone wanajiita wakongwe wanachosema ,kuna mmoja kasema makapuku ni wanuka mkojo sijui ,wakati kule kwenye forum ya makapuku sijaona sehemu wametukana mtu ,
Mi sioni haja ya kuumiza kichwa.. Aswa ukizingatia tunatumia I'd tofauti... Waacheni watobokeWatu wanadharau sana yan wanatuona sisi kama watoto vile
Hawajui wengine tunaondoa stress humu ndan
Nawewe uliingia kufanya nini hukooo? Au na wewe ni kapuku, mimi hata kufungua tu naona uzito because iam not kapuku and will never be onetatizo hao makapuku wanakuja na thread za kipumbavu,kuna huyu kapuku anaitwa puppa thread,comments zake ni za ovyo
Anajiita mkongwe mkuu kumbe nae ni kapuku tu ila hajitambui!Eti kuna mkuu mmoja ameanzisha mada kutujadili!
Makapuku keep the fire burning..#"Karibu mselaaa