amaizing
JF-Expert Member
- May 3, 2013
- 3,616
- 12,398
Karibu sanaaa kwa family ya kapukuTeh teh teh waacheni kama mnawatenga mlitaka wafanyaje? Acha na mimi nikajiunge kapuku's
Karibu sanaaa kwa family ya kapukuTeh teh teh waacheni kama mnawatenga mlitaka wafanyaje? Acha na mimi nikajiunge kapuku's
ndo mazimua muda huu hapa ili nipate muzuka wa kuchatuka hapaaUlienda kuvuta yale mambo yako nin mkuu?
Mkuu acha hiyo kitundo mazimua muda huu hapa ili nipate muzuka wa kuchatuka hapaa
Hizo ndio tabia zao hawawezi acha kututukanaNi nilidhani wakongwe watakaa kimya na kuwaangalia makapuku wataishia wapi.
Lakini wakongwe mnapotukana mnazipa mashiko hoja za Kapukuz.
Safi sana mkuu, vp blogNatengeneza website kwa bei nzuri 0769338868
Poa mkuu ila usije ukajikuta tu inapelekea uvunje sheria za nchindo mazimua muda huu hapa ili nipate muzuka wa kuchatuka hapaa
Ofa IPI tena mkuuuAmazing Ile ofa hukuiona?

Nilisema blauz lazima wakae![]()
The Blauz
![]()
![]()
![]()
![]()
......................
Ndo maana huu Uzi umeanzishwa huku.Afadhali chitchat mnaitendea haki, ili mkija kwenye majukwaa serious kusiwe na childish behavior.
wale wajinga wamenikera sema basi ngoja nilale zanguKuhusu Hiyo thread ya matabaka kuna maneno ya dharau na kejeli mnooo kuhusu kapuku.
Tunatukana kwamba ni wanuka mkojo
Hatuna kazi ya kufanya.
Tunakesha humu....
Na maneno mengi ya kejeli.
Ninachoweza kusema ni kwambafungua Uzi ile ni id fake. Yule ni mkongwe. Tena ni maarufu.
Hamna haja ya kwenda kujibishana. Ni kuwapa promo....
Kapuku let's stay focused. Our agenda was not to isolate but to find unit and solidarity
Dhana nzima ya kapuku forum sio kujitenga ila kuwa pamoja na kupeana support.
Hamna mkomgwe aliye dharauliwa. Ila wakongwe lazima wawaheshim vijana wapya...and vice versa.
One love kapuku......
Kwa vile post zetu zilikuwa hazithaminiwi...
Ni wakati sasa Wa kuzipa support post au koments
Za kapuku na wakongwe pia.....
Naamini kapuku forum haipo kwa ajili ya isolation but its for unifying the lower....
Cc Bitoz
Th Name
Jimena
ibra87
damtanzania
youngblood
amaizing
cute b
mshana jr
EMMYGUY
peterchoka
Lizzy
@sizzy007
Linamo
manuu
Na kapuku wenginee woote.....
Safi mkuuNatengeneza website kwa bei nzuri 0769338868
jonax vipi mkuu,nilikumis aisee.ndo mazimua muda huu hapa ili nipate muzuka wa kuchatuka hapaa
Achana nao Mkuu maana naona matusi kwao ndio sifawale wajinga wamenikera sema basi ngoja nilale zangu
Nilitangaza uweke namba ya Voda upate some MB...Ofa IPI tena mkuuu
Kuna vyombo huko au??![]()
![]()
ndo inapanda