Makapuku Forum

Makapuku Forum

4e25fff627f014c141fc309fa7bf20c5.jpg
 
hii list ya majina naiona sana kwenye MMU FORUM,itakuwa mmevamia mademu wa wakongwe na mmepigwa vya mbavu,mnalilia mnaonewa
Kweli kabisa. Kuna huyu dogo anajiita Bitoz ...... huyu nasikia kanichukulia vimwana vyangu viwili sababu ya ubitoz wake. Naongea na Max ampige permanent ban ili liwe funisho kwa vijana wenzie walafi wa Kei.
 
Naomba nitoe rai!!
Kama katibu kiongozi wa vuguvugu hili nawataka wenzangu wote ambao tumepambana toka mwanzo kuendeleza msimamo wetu, kama matabaka yalianzishwa na wao, sie tunaitikia kiitikio tu.

Naomba, kapuku yoyote anayejijua kuwa yeye ni kapuku na yuko proud kuupuuzia huo uzi.

Na niseme tu kuwa hatutoona shida kumdinounce mmoja au wawili watakaotaka kupasuka na uzi huo.

Makapuku tulinyanyaswa
Makapuku tulisengenywa
Makapuku tulitukanwa
Tulifanyiwa kila aina ya upuuzi.

The end justfy the means, matokeo ya vuguvugu hili ni udhihilisho wa njia zisizo sahihi zilizotumiwa na wakongwe katika kuwatreat members wapya.

Katibu kiongozi wa makapuku
Sizzya007
 
Kuhusu Hiyo thread ya matabaka kuna maneno ya dharau na kejeli mnooo kuhusu kapuku.

Tunatukana kwamba ni wanuka mkojo

Hatuna kazi ya kufanya.

Tunakesha humu....

Na maneno mengi ya kejeli.


Ninachoweza kusema ni kwambafungua Uzi ile ni id fake. Yule ni mkongwe. Tena ni maarufu.


Hamna haja ya kwenda kujibishana. Ni kuwapa promo....


Kapuku let's stay focused. Our agenda was not to isolate but to find unit and solidarity

Dhana nzima ya kapuku forum sio kujitenga ila kuwa pamoja na kupeana support.

Hamna mkomgwe aliye dharauliwa. Ila wakongwe lazima wawaheshim vijana wapya...and vice versa.


One love kapuku......

Kwa vile post zetu zilikuwa hazithaminiwi...

Ni wakati sasa Wa kuzipa support post au koments
Za kapuku na wakongwe pia.....


Naamini kapuku forum haipo kwa ajili ya isolation but its for unifying the lower....

Cc Bitoz
Th Name
Jimena
ibra87
damtanzania
youngblood
amaizing
cute b
mshana jr
EMMYGUY
peterchoka
Lizzy
@sizzy007
Linamo
manuu


Na kapuku wenginee woote.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom