Kwa upande wangu sioni tatizo kwa makapuku kuungana na kufungua thread yao
Kule hawatukani MTU ni kuchati na kupeana ushauri wa maisha ..
Na member yoyote haijalishi ni junior member au senior anaruhusiwa kuchangia Kule...
Hivyo kusema kuwa makapuku wamejitenga sio kweliiiii.....
Karibun kapuku forum
NB...sio wote walioko kapuku forum ni watoto kama baadhi ya members wanavyodai..wengine tupo kule kwa ajil ya stories na kuondoa stress....