Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,503
- 57,043
Ni kweli mkuu,lakini kwajinsi JF ilivyo kwasasa unaweza ukawa unatetea haki yako lakini mwisho wa siku utaambulia BAN na haki yako hupati.dunia ya leo kuwa kimya nia aina fulani ya uoga ...
Ni kweli mkuu,lakini kwajinsi JF ilivyo kwasasa unaweza ukawa unatetea haki yako lakini mwisho wa siku utaambulia BAN na haki yako hupati.dunia ya leo kuwa kimya nia aina fulani ya uoga ...
Jukwaa ganiWatajibeba hukoo
Leo yametokea mambo mengi sana ya kutisha mkuu,sijui hata niazie wapi!Kilitokea nini hapo
Uko right mkuu watu wafanya maisha magumuumeongea vema tatizo kuna chama flani cha siasa wao siasa muda wote hawajui .....hata shetani alifukuzwa mbinguni kisa siasa
Yaani ni shida kubwa ila unajua boya akija hafu akakuta mzee umenyuti tu anageuka mwenyewe ila akiona una nepa anajua ndezi huyo...So stay tune ..Usijali your wife atakuja. Leo tulitoka kidogo na mama watoto ila yeye alikuwa humu. Halafu naona Kila raia wanaleta fujo
Ndio maana unaitwa mchocheziUtoto uliotukuka.
Mkuu sasa nimekuelewa.... Mbona mambo madogo hayo... Potezea bana...Toka kuzaliwa kwangu hakuna siku ambayo nimepata hasira kama leo.
Kwakweli inaniuma sana, hivi hizi dharau zitaisha lini lakini.?
Nipo nanyi sambamba shemejiWow atleast Shem maana niliona wife simapti kabisa hata wewe sikuoni nikahisi kuna jinsi watu wanatutekea vimwana wetu ila kama upo nimeridhika sna kwa niaba ya Th Name
Nimeshapotezea mkuu.Mkuu sasa nimekuelewa.... Mbona mambo madogo hayo... Potezea bana...
Ndo maana nimeamua kutowajibu wale mandezi, wanafikiri JF ya kwao pekee yao. Ila niniYaani ni shida kubwa ila unajua boya akija hafu akakuta mzee umenyuti tu anageuka mwenyewe ila akiona una nepa anajua ndezi huyo...So stay tune ..
Au huko wakongwe wame mteka nini? Ume riport polisiYani shemeji acha tu,itabidi nilale kwanza labda nikiamka atakuwa amerudi?
kweli ..Ni kweli mkuu,lakini kwajinsi JF ilivyo kwasasa unaweza ukawa unatetea haki yako lakini mwisho wa siku utaambulia BAN na haki yako hupati.
Jimena kaniambia nisiende polisi kwanzaAu huko wakongwe wame mteka nini? Ume riport polisi
imegundulika kuwa nyie makapuku mnaongoza kuchukua mashizoo wa wakongweee ...Au huko wakongwe wame mteka nini? Ume riport polisi
Honey wanguNipo nanyi sambamba shemeji