Linamo
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 9,976
- 24,498
Hujambo? Wapi mwanao?Nimeandika mpaka nimeishiwa maneno... Ebu nipeni topic
Hujambo? Wapi mwanao?Nimeandika mpaka nimeishiwa maneno... Ebu nipeni topic
Hapa si mahali sahihi kwa MTU kama wewe
Kama vipi kwendraaaaaa kuleeeee
hiyo ni nature ya huko kwenu![]()
![]()
lakini si lazima watu wapige jeki?
Nzuri wifi... Mvua tu... Naona mambo ni fire na broSie wazima
Habar ya weekend???
Karibu

Basi sawa mkuu karibu tena.Mkuu kwetu huku hakunaga mafuriko
Nyie wanaume acheni kunikatili au mnataka mimi niwatongoze sio?Nilitaka kukusitiri ukanikatiri, nimesitiriwa na jimena siwezi kumsariti😀😀😀
If u knw wat i mean
Amaizing, nimekumis sana shem, halaf manuu kanifanyia sapraiz leo cjaamin
Anaachaje sasa kutabasamu kwa mfano??Mwanakamati pokea shukran zangu za dhati kwa kuweka hii mambo sawa naamini mpenzi wangu anatabasamu sasa..
Sisi wengine huku kwetu saa hizi ni asubuhiWakuu tafadhali nawaomba tupate kwanza lunch then turudi after 30 min
Hapo safih
hapana mkuu jana nilikuwa nipo na mood ya kuwa na marafiki wangu wa mtaa tu
Jimena tuambie kamoyo kako kamenasa wapi atiiAnaachaje sasa kutabasamu kwa mfano??
We like tu
ngoja niaply ila tafadhali usiniite honeyNyie wanaume acheni kunikatili au mnataka mimi niwatongoze sio?
Nyie si hadi mtongozwe ndio mnaelewa... sasa ngoja nianze kuwalia mingo...weka qualifications zako chaap
Mshana Jr hajaja usiku?Nyie wanaume acheni kunikatili au mnataka mimi niwatongoze sio?
Khaaa.Mkuu kweli itatuweka huru