David Harvey
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 3,110
- 6,747
Cc
youngblood mimi mwenyewe.
Bitoz
Th Name
Jimena
ibra87
EMMYGUY
Nahrene
jonax
sumbai
damtanzania
Na makapuku wengine kibao njoeni huku.
Mimi nimeridhika na nikiliita linanoga haswa..nawashangaa hawa mashemeji.Hahahahah ila kama wewe umeridhika nalo hakuna shida..
Kweli kabisa. Kuna huyu dogo anajiita Bitoz ...... huyu nasikia kanichukulia vimwana vyangu viwili sababu ya ubitoz wake. Naongea na Max ampige permanent ban ili liwe funisho kwa vijana wenzie walafi wa Kei.hii list ya majina naiona sana kwenye MMU FORUM,itakuwa mmevamia mademu wa wakongwe na mmepigwa vya mbavu,mnalilia mnaonewa
Umetumwa uje ututafutie BAN??hayo maandishi yangeandikwa na,kapuku hiyo hukumu yake ingekuwa,ni nzito sanaPole Sana Mkuu, Hao Makupuku Wengi Wao Ni Wanuka Mkojo ( Watoto )
Komaa nao tu shemeji yangu watanyooka tu taratibu..Mimi nimeridhika na nikiliita linanoga haswa..nawashangaa hawa mashemeji.
Watajibeba hukooWakuu kuna uzi umeanzishwa huko kwa wakongwe unahusu matabaka between MAKAPUKU na WAKONGWE.
Na kweli lazima wajibebe.Watajibeba hukoo
Hakuna kwenda kucomment kathread kao ht NUKTA ...Cc viongozi tushakuwa mfanoWatajibeba hukoo
Sawa mkuu,hamna noma.Hakuna kwenda kucomment kathread kao ht NUKTA ...Cc viongozi tushakuwa mfano
Tumeuchuna
.....................
Umesomeka kamanda.Makapuku, huyu black bat ni member JF since 2007, naona amekuja kutafuta shari.
Naomba TUMPUUZE na tumuonee huruma MTU MZIMA asiyejitambua.
Endeleeni na story km kawaSawa mkuu,hamna noma.
Teacher on duty upo Arusha maeneo gani?Salama mkuu Mungu ni mwema katujalia mvua ya baraka leo tangu asbh