Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Wakuu kuna uzi umeanzishwa huko kwa wakongwe unahusu matabaka between MAKAPUKU na WAKONGWE.
Waache wajambe
Cc tufanye yetu
Me ctacomment ht NUKTA
........................
Wakuu kuna uzi umeanzishwa huko kwa wakongwe unahusu matabaka between MAKAPUKU na WAKONGWE.
Hahahaha mjini hapa...Kuna wanao kesha yani kutwa nzima wako jamii forums 24/7. Ivi kazi au shughuli zao wanafanyaga saa ngap ??
Cz binafsi si kila wakati nipo humu unless ni notification ya kitu muhimu nafatilia. Si hukumu mtu though.
Salama mkuu Mungu ni mwema katujalia mvua ya baraka leo tangu asbhTeacher habari za arusha
Mbona alieanzisha huo anaonekana hajamaliza hata mwaka humu?Aiseee Makapuku, kuna uzi mmeanzishiwa huko unaitwa
Hatimae utabaka umeingia JF
Mwendeni mkajitetee huko.
Kuna wanao kesha yani kutwa nzima wako jamii forums 24/7. Ivi kazi au shughuli zao wanafanyaga saa ngap ??
.
eeeeeeeehhhh kumbe umaarafu ni tatizo hasa kwa viumbe ving etttttHapana usiseme hivo, huenda na ww uliingia kwa dizain hiyo hiyo
Aisee wale jamaa wanaongea shudu kinoma![]()
Waache wajambe
Cc tufanye yetu
Me ctacomment ht NUKTA
........................
Hahahaha mjini hapa...
Ha ha du! UmetishaWapigwe tu ban maana hamna namna!
haha hadi wewe mkuu ...Aiseee Makapuku, kuna uzi mmeanzishiwa huko unaitwa
Hatimae utabaka umeingia JF
Mwendeni mkajitetee huko.
Sawa mkuu,nilikuwa nimeanza kujibu mapigo lakini nimeona tukaushe tu kwasababu tukianza kujibizanaa tutawapa nguvu.NASHAURI KAUSHENI TU
.........
Labda,aongee kingine BAN kwetu ni kawaida sanaBan ikiisha si watarudi?
Aiseee kweli wewe kapukuMkuu umeona wapi mlinzi wa getini akawa busy?
Hilo suala la kufanya kazi ni la mtu binafsi, si kila mkulima anashika jembe analima!, wengine wanatumia pesa zao kulimisha wengine.
Wengi huwa wana ID mbili mbili humu, wakipigwa BAN huwa wanafukua hizi ID zao.Mbona alieanzisha huo anaonekana hajamaliza hata mwaka humu?