Makapuku Forum

Makapuku Forum

hapana mkuu katika watu ambao nawaheshimu na ambao hajawahi kunidharau ni wewe.. Hivyo wewe si mmoja kati ya hao. Kwahiyo niwie RADHI katika hilo
Good boy!

Ukipata nafasi uje kipande hiki cha Bunju nikupime uwezo wako wa kugida bia za baridi na nyama choma
 
Toka kuzaliwa kwangu hakuna siku ambayo nimepata hasira kama leo.
Kwakweli inaniuma sana, hivi hizi dharau zitaisha lini lakini.?
Shemeji kuwa mpole si unajua biskuti dawa yake maji tu...Hiyo miaka ni namba tu ila hamna wanachojua zaid na labda ikibidi tupate kibali..Tuwachane tu..
 
f68d31a812e60f32f27c6a5979e0d26d.jpg

Muuaji
...........
 
kweli diva
Wanasahau kuwa huku ni mafekero accounts hadi comments, sasa tatizo la jf watu hupenda kuangalia comments na Ku creates imagination kuwa huyu yuko njema, ana ringa dharau sijui nini ndo tatizo lilipo. Jf ukimind Bussiness zako na kufanya sehemu ya kushare ideas, kujifunza na kusoma habari lazima uenjoy.
 
Soma my previous posts zielewe na usilete personal attacks cz hunijui na hufaham naishi na kufanya shughuli gani.
Mada inahusu matabaka mshaanza kuleta tambo zenu ,wewe kama huna muda wenzako wanao ,its as simple as that
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom