Makapuku Forum

Makapuku Forum

Nafurahi kuzaliwa siku moja na
Usher Raymond
Mathew Le Tissier
Louren mzee wa Polo
Ahmed Musa japo simuamini maana waafrika kwa kufoji

Nasikitika kuwa siku mbaya kwa Mwalimu JK Nyerere na Bruno Metsu

Nawashukuru wote milioniwish na Mungu awabaeiki
Makapuku Forum imenikutanisha na watu wazuri....naomba tuendeleze umoja wetu
Tuvumiliane madhaifu yetu
NB:
Nathamini wishez zenu wote lakini kwa bahati mbaya siwezi kujibu zote kutokana na kasi ya thread
One Love
...............
.........................
Pamoja sana kubwa lao.
 
wife:- Darling, how much do you love me ????

Husband:- 82%

Wife:- Huh, why it is not 100% ????

Husband :- 18% VAT is applicable on all transactions.

[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
*Looku Looku* [emoji102][emoji102]

*Ama Kweli Mkuki Kwa Nguruwe kwa Binadamu Mchungu Skia Hii....!!*

*Ishawahi kutokea Pale nilipokutana njiani na mwalimu aliyekufundisha MATHS secondary afu akaniambia nimuelekeze njia ya kwenda sehemu fulani.*

*_Nenda mbele kama 2KM hivi kisha kata kushoto,ila hakikisha ANGLE inakuwa ni 30.5 KUSINI MASHARIKI.Kisha tumia PYTHAGORAS na hakikisha una FOUR FIGURE ili kupata thamani ya ANGLE._*

*Mwalimu alisonya na kuondoka.*[emoji57][emoji57][emoji57][emoji19][emoji19]

*Stakagi ujinga kabisa mimi, wakati ananichapa alifikiri sifa*[emoji23][emoji23]

[emoji28][emoji119][emoji119] *Mniache Tuu Mimi Sio Kwa Bifu Ilo Aiseee*[emoji125]
 
HEPI BATHIDEI Bitoz punguza mwendo upokee Zawadi.
bito(1).jpg
 
Sawa
 
Aiseee
 
Back
Top Bottom