Makapuku Forum

Makapuku Forum

1476430232313.jpg
 
Leo ni Siku ya Kuzaliwa ya Bitoz.

Ni mmoja kati ya Waasisi wa Makapuku Forum.

Ametimiza miaka kadhaa, hivyi nikiwa kama mkuu wa segment hii, namtakia kila la heri katika siku hii muhimu kwake, Mungu ambariki ampe uhai mrefu zaidi na wenye mafanikio. Amen
Nafurahi kuzaliwa siku moja na
Usher Raymond
Mathew Le Tissier
Louren mzee wa Polo
Ahmed Musa japo simuamini maana waafrika kwa kufoji

Nasikitika kuwa siku mbaya kwa Mwalimu JK Nyerere na Bruno Metsu

Nawashukuru wote milioniwish na Mungu awabaeiki
Makapuku Forum imenikutanisha na watu wazuri....naomba tuendeleze umoja wetu
Tuvumiliane madhaifu yetu
NB:
Nathamini wishez zenu wote lakini kwa bahati mbaya siwezi kujibu zote kutokana na kasi ya thread
One Love
...............
.........................
 
BOSS anamwambia sekretari wake: Wiki hii
tutaenda wote Serena Hotel kwenye mkutano
fanya mipango yote.
SEKRETARI (anamuaga mumewe): Tunaenda
na bosi Serena hotel kwenye mkutano for 1
week.
MUME (anampigia mpango wa kando): Mambo
safi, wife anaenda kikazi Serena, jitayarishe
tujipe raha for 1 week
(Mpango wa kando) anamwambia mwanafunzi
wake wa tution: wiki hii nina kazi fulani
hakuna tution mpaka week ijayo.
MWANAFUNZI anampigia simu sugar daddy
wake ambaye ndo (BOSS): Dear hakuna tution
wiki hii nakuja kwako.....
BOSS anamwambia sekretari wake: Siendi
Serena tena coz mjukuu wangu
atanitembelea.
SEKRETARI: Mume wangu hatuendi Serena
MUME (anampigia Mpango): dah! mpenzi,
huyu mke wangu haendi tena. Shit! So hadi
next time plz
Mpango wa kando a.k.a teacher (anampigia
mwanafunzi): Darasa kama kawaida sorry for
the earlier message.
MWANAFUNZI: darling tution inaendelea
kumbe, so nakuja wiki ijayo!!
BOSS: Sekretari sorry jitayarishe ile safari ya
Serena iko palepale......
Teh teh teh teh kwi kwi kwi kwi hahahahaha, safari hii secretary ataondoka kimyakimya
 
Nafurahi kuzaliwa siku moja na
Usher Raymond
Mathew Le Tissier
Louren mzee wa Polo
Ahmed Musa japo simuamini maana waafrika kwa kufoji

Nasikitika kuwa siku mbaya kwa Mwalimu JK Nyerere na Bruno Metsu

Nawashukuru wote milioniwish na Mungu awabaeiki
Makapuku Forum imenikutanisha na watu wazuri....naomba tuendeleze umoja wetu
Tuvumiliane madhaifu yetu
NB:
Nthamini wishez zenu wote lakini kwa bahati mbaya siwezi kujibu zote kutokana na kasi ya thread
One Love
...............
.........................
Live longer frere Bitoz

Back
Top Bottom