Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,516
- 40,632
Wabongo wengi hawasomagi, Remember!!!Yah, ndio maana ile movie inavoanza imeandikwa " Based on a true story "
Wabongo wengi hawasomagi, Remember!!!Yah, ndio maana ile movie inavoanza imeandikwa " Based on a true story "
So Chaplin alikuwa anaiga tu style ya Hitlerhawana hata urafiki achilia mbali undugu.
Nilikuwa nafowadi mbele sikuwa nafuatilia maandishi japo kwa sasa ndio nimebadilikaWabongo wengi hawasomagi, Remember!!!
Umehisi niniWewe ni mwanamke au mwanaume
Aisee kumbe wewe ni mzee wa masomo ya artsNimesomea mkuu
Unataka kuolewa???Wewe ni mwanamke au mwanaume
Weka na picha yake maana sidhani kama yeye mwenyewe ataiweka hahahahahaLeo ni Siku ya Kuzaliwa ya Bitoz.
Ni mmoja kati ya Waasisi wa Makapuku Forum.
Ametimiza miaka kadhaa, hivyi nikiwa kama mkuu wa segment hii, namtakia kila la heri katika siku hii muhimu kwake, Mungu ambariki ampe uhai mrefu zaidi na wenye mafanikio. Amen
Very smartHitler alikuwa na askari wake wa siri maarufu kama Gestapo, walinusa kila sehemu hadi kanisani walipandikizwa.
Hivyo lolote baya lilimfikia kwa wakati sahihi kabisa.
Namuombea umri mrefu zaidi na maisha ya kheri. [emoji120]Leo ni Siku ya Kuzaliwa ya Bitoz.
Ni mmoja kati ya Waasisi wa Makapuku Forum.
Ametimiza miaka kadhaa, hivyi nikiwa kama mkuu wa segment hii, namtakia kila la heri katika siku hii muhimu kwake, Mungu ambariki ampe uhai mrefu zaidi na wenye mafanikio. Amen
Dikteta kwenye ubora wakeNa sisi tunaamini kuwa adhabu sahihi ya msaliti ni kifo.
Alikufa kwa ugonjwa gani mkuu1999 - Julius Kambarage Nyerere anafariki Dunia.
Alikiwa ni Rais wa kwanza katika historia ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Anajulikana kama Baba wa Taifa, ameongoza nchi hiyo kwa miaka 23 kabla ya kung'atuka na kumuachia Ali Hassan Mwinyi.
Ana mchangi mkubwa sana katika ukombozi wa Bara la Afrika hasa nchi za Kusini mwa Afrika.
Alifariki huko London katika Hospitali ya Mtakatifu Thomas.
Asante mkuu wikiendi njema na sikukuu njemaLeo katika Historia Nzito:
Kwa udhamini mnono wa Nyerere Day na Bitoz Day sina la ziada, tukutane tena kesho.
Muwe na siku njema.
1968 - Matthew Le Tissier anazaliwa.
Ni gwiji wa mpira wa klabu ya Southampton unayoshiriki ligi kuu ya Uingereza.
Pamoja na uhodari wake wote wa kufunga magoli akiwa na klabu ya Southampton hakuwahi kuchezea timu ya taifa ya England.
Mashabiki wake humuita jina la utani " Le God "
Kwa utanashati huo nimeshajua umri wakoView attachment 417786
Kuna lingine?
Nawashukuru wote mlionwish
Mungu awabariki
NB:
Sihitaji kuanzishiwa thread
..........
Vidonge vya cyanideRommel alijiua kwa njia gani?
Akiwa wapi na Hitler akiwa wapi?Alijipiga risasi
Pamoja sana bitozView attachment 417786
Kuna lingine?
Nawashukuru wote mlionwish
Mungu awabariki
NB:
Sihitaji kuanzishiwa thread
..........
wife:- Darling, how much do you love me ????Dah!!! vitoto vingine vinaumbua sana[emoji15]
Tulikua kwenye daladala, mtoto mmoja akamuuliza mama yake, mama tunaenda wapi na hatujaoga? [emoji38][emoji38][emoji38]
Dereva imembidi asimamishe gari tucheke kwanza[emoji23][emoji23][emoji23]
Haswaa...upo sahihiWabongo wengi hawasomagi, Remember!!!