Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,330
- 68,399
hapo sawa.Vidonge vya cyanide
hapo sawa.Vidonge vya cyanide
Enzi za babuWapo wengi. Na hapo ndipo nilipogundua Waingereza nao ni wabaguzi tu.
Steve Bruce alitamba sana levo ya klabu akiwa Man Utd akibeba EPL mara 4 lakini hakuwahi kuitwa timu ya taifa ya England.
[emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40]Haya ushakuwa sasa hvyo hii michezo yako acha mara mojaView attachment 417811
Mambo yakeUmehisi nini
Steve Bruce alikuwa hapitwi na mipira ya juu.Enzi za babu
Nakuona...![emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40]
Teh teh teh teh teh HBD mzee Bitoz, tunashukuru kwa picha yakoView attachment 417786
Kuna lingine?
Nawashukuru wote mlionwish
Mungu awabariki
NB:
Sihitaji kuanzishiwa thread
..........
1999 - Julius Kambarage Nyerere anafariki Dunia.
Alikiwa ni Rais wa kwanza katika historia ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Anajulikana kama Baba wa Taifa, ameongoza nchi hiyo kwa miaka 23 kabla ya kung'atuka na kumuachia Ali Hassan Mwinyi.
Ana mchangi mkubwa sana katika ukombozi wa Bara la Afrika hasa nchi za Kusini mwa Afrika.
Alifariki huko London katika Hospitali ya Mtakatifu Thomas.
Na waswahili wanasemaje?Wazungu wanaita, Leukemia. Sijui nimepatia spelling?
Nakuona...!View attachment 417821[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Nina mke tayariUnataka kuolewa???
Haya nenda kaoge sasaView attachment 417826umependeza sana aisee
Acha ufwalwaHaya ushakuwa sasa hvyo hii michezo yako acha mara mojaView attachment 417811
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Mambo yake
Utoto acha umeshakuwa mtu mzima sasaAcha ufwalwa
Imba Happy Birthday
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
........
Hahahahaha```Nilisimamishwa na polisi jana usiku wakaniuliza mbona natembea usiku nikawauliza kwani usiku watu huogelea..```
*Sipendi ujinga mimi*
```Niko kwa landrover sasa hivi i think wananipeleka home...```[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ameficha sura yake hahahahahaAmeshaweka nadhani.
2013 - Bruno Metsu anafariki Dunia.
Ni kocha wa Kifaransa aliyejipatia mafanikio kwa kuifundisha Senegal na kuifikisha robo fainali ya Kombe la Dunia mwaka 2002 pale Korea Kusini na Japan.
AsanteNa kwako pia