Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,833
Makapuku naona tunaongoza kwa likes. Safi sana na hakuna kulegeza kamba!
namuona skopioni mwishoniMakapuku naona tunaongoza kwa likes. Safi sana na hakuna kulegeza kamba!![]()
Nashukuru mkuu
Nahisi virober vya mchana vinakusumbuaHuyo sio dadangu ni uncle, hebu geuka na shati lako, una mguu mzuri anyway[emoji23] [emoji125] [emoji125]
ThanxHepibethidei
ekzatliNashukuru mkuu
Nahisi umeleta vifaa bya Mlimani City
....
Thread yenyewe ishavutwanamuona skopioni mwishoni
Ukisoma kwa haraka kweli utakosea tu maana hakuna namna nyingineIlikuwa very close useme "hajaharisha?" Nimecheka sana mkuu. Hili tatizo la kuchanganya vowels za Kiswahili na h- wakati mwingine ni TATIZO!!!
Alikuwa smartErwin hiyo quote yake ya "usipigane vita ikiwa hutopata chochote kwa ushindi wako" ni maneno mazuri ya kuchochea Amani
Usivimbe bichwa sasaPowa mkuu yameisha
Hizo messages za Mshana Jr duh kamfunika JimenaMakapuku naona tunaongoza kwa likes. Safi sana na hakuna kulegeza kamba!![]()
Mkwepa kodi yeye anawaza kitwanga tuSio sikukuku ni maombolezo
Hii picha ya kikofia umeipataje aise
Utata upi sasa wakati mtu kafa mwenyeweNa hizi picha ndio zimeongeza huo utata
Wapo wengi, wewe upo sayari ganiHivi binadamu wa hivi wapo kweli?
Briefcase [emoji161] inamchanganya
Hujaiona tu[emoji15] [emoji15] Leta
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]namuona skopioni mwishoni
Huoni utofauti wa zile picha mara ana nywele mara kipara hupati shakaUtata upi sasa wakati mtu kafa mwenyewe