Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,330
- 68,399
Sijui mkuuSo Chaplin alikuwa anaiga tu style ya Hitler
Sijui mkuuSo Chaplin alikuwa anaiga tu style ya Hitler
Vidonge vya cyanideAlijipiga risasi
Hahaha...sawa.View attachment 417786
Kuna lingine?
Nawashukuru wote mlionwish
Mungu awabariki
NB:
Sihitaji kuanzishiwa thread
..........
Ameshaweka nadhani.Weka na picha yake maana sidhani kama yeye mwenyewe ataiweka hahahahaha
Kifo cha sumu ni shida!!!Kuna wanaosema alijipiga risasi na kuna wanaosema alikunywa sumu
Amen.Namuombea umri mrefu zaidi na maisha ya kheri. [emoji120]
[emoji512] [emoji445] [emoji92]
Husband Israel anakuonawife:- Darling, how much do you love me ????
Husband:- 82%
Wife:- Huh, why it is not 100% ????
Husband :- 18% VAT is applicable on all transactions.
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
1978 - Usher Raymond anazaliwa.
Ni mkali wa muziki toka nchini Marekani.
Sina maana hiyoDikteta kwenye ubora wake
Wazungu wanaita, Leukemia. Sijui nimepatia spelling?Alikufa kwa ugonjwa gani mkuu
Na kwako piaAsante mkuu wikiendi njema na sikukuu njema
Na ww zaa wakoAlizaa watoto wengi kama panya hahahahaha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nilikuwa nafowadi mbele sikuwa nafuatilia maandishi japo kwa sasa ndio nimebadilika
Wapo wengi. Na hapo ndipo nilipogundua Waingereza nao ni wabaguzi tu.
CyanideKuna wanaosema alijipiga risasi na kuna wanaosema alikunywa sumu
Hitler hakuwepo eneo la tukio. Alimtumia makamanda wake.Akiwa wapi na Hitler akiwa wapi?
Haya ushakuwa sasa hvyo hii michezo yako acha mara mojaView attachment 417786
Kuna lingine?
Nawashukuru wote mlionwish
Mungu awabariki
NB:
Sihitaji kuanzishiwa thread
..........
Kwa kweli huyu ni kuku
1992 - Ahmed Musa anazaliwa.
Ni winga/mshambuliaji wa Leicester City na timu ya taifa ya Nigeria.