Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,299
Ohoooo unamkubali mwanangu eeenikimuona kagame namkumbuka mtotobwake
Ohoooo unamkubali mwanangu eeenikimuona kagame namkumbuka mtotobwake
Weka pichanikimuona kagame namkumbuka mtotobwake
Wa piliWa ngapi?
Reagan namkubali1982 - Rais wa wakati huo wa Marekani, Ronald Reagan anatangaza vita dhidi ya wauza madawa ya kulevya.
Kiswahili chakoUmejuaje
Ahsante mkuuHairisha=ahirisha
Mzee wa gold1930 - Mobutu Sese Seko anazaliwa.
Alikuwa ni Rais na Dikteta wa zamani wa Zaire, kwa sasa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
Anatajwa kama Bilionea wa kwanza Mweusi Ulimwenguni.
Alishiriki katika kukamatwa kuuwawa kwa Waziri Mkuu wa wakati huo, Payrice Lumumba.
Alipinduliwa mwaka 1997 na kukimbilia uhamishoni kabla kufariki huko Morocco na kuzikwa hukohuko.
Swali zuri
Alikoki bastola yake na kuingiza mdomoni kwake kisha kujipiga risasi ( nafikiria ilikuwa hivyo ndivyo alivyojiua)
[emoji106]Wa pili
Nimesomea mkuuKiswahili chako
Nyerere day1999 - Julius Kambarage Nyerere anafariki Dunia.
Alikiwa ni Rais wa kwanza katika historia ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Anajulikana kama Baba wa Taifa, ameongoza nchi hiyo kwa miaka 23 kabla ya kung'atuka na kumuachia Ali Hassan Mwinyi.
Ana mchangi mkubwa sana katika ukombozi wa Bara la Afrika hasa nchi za Kusini mwa Afrika.
Alifariki huko London katika Hospitali ya Mtakatifu Thomas.
Apumzike vyema1999 - Julius Kambarage Nyerere anafariki Dunia.
Alikiwa ni Rais wa kwanza katika historia ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Anajulikana kama Baba wa Taifa, ameongoza nchi hiyo kwa miaka 23 kabla ya kung'atuka na kumuachia Ali Hassan Mwinyi.
Ana mchangi mkubwa sana katika ukombozi wa Bara la Afrika hasa nchi za Kusini mwa Afrika.
Alifariki huko London katika Hospitali ya Mtakatifu Thomas.
KaribuAhsante mkuu
Mbwa mzee alifundishika sio!!2013 - Bruno Metsu anafariki Dunia.
Ni kocha wa Kifaransa aliyejipatia mafanikio kwa kuifundisha Senegal na kuifikisha robo fainali ya Kombe la Dunia mwaka 2002 pale Korea Kusini na Japan.
Laiti angefanikiwa kumuua Hitler.....1944 - Field Marshal Erwin Rommel katika Jeshi la Nazi la Ujerumani analazimishwa ajiue mwenyewe baada ya kuhusika kula njama za kutaka kumuua Kiongozi wa Nchi hiyo Adolf Hitler.
Baada ya kukiri kuhusika kwake, Hitler anamwambia Rommel ajiue mwenyewe ili kulinda heshima yake kutokana na mchango wake katika Taifa hilo.
Rommel anajiua na inatangazwa kuwa alikufa kwa ajali ya gari na anazikwa mazishi ya kitaifa kwa kupewa heshima zote.