Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,516
- 40,625
AmaniMbona vidole viwili hewani
AmaniMbona vidole viwili hewani
yaan anawatesa sanaa bora na maua sama kabaki vile vile na mwasitiJangili wa ngozi yupo bize
Je wa JF yupojeJE WAJUA?
Kuku wa WHATSAPP ni mkubwa kuliko Ng'ombe wa WHATSAPP
[emoji230][emoji239]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Heri yaoyaan anawatesa sanaa bora na maua sama kabaki vile vile na mwasiti
Teh tehDah!!! vitoto vingine vinaumbua sana[emoji15]
Tulikua kwenye daladala, mtoto mmoja akamuuliza mama yake, mama tunaenda wapi na hatujaoga? [emoji38][emoji38][emoji38]
Dereva imembidi asimamishe gari tucheke kwanza[emoji23][emoji23][emoji23]
Me nimefanya huko WASAPU wewe fanya huku JFJe wa JF yupoje
La kupalamaBeba beba mia tano nasema mia tano libebe Baba (la kunchupa)
Morning NyageiMoningi Shululu
Morning mukongoGudi morningi[emoji111]
Maana yake amani itawaleMbona vidole viwili hewani
Hapo hata ule ukuta anaoufikiria Donadi kuujenga utapita bila kugundulika [emoji2] [emoji2] [emoji2]UMELALA NA MTOTO WA WATU GUEST TETEMEKO LINAWAKUTA BINTI ANAANGUKIWA NA UKUTA
hapo ndo utajua watumwa waliwezaje kufika ulaya kwa miguu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Poeni kabisa maana kwa sasa tuna malaika asiyejaribiwaTumeshapoa kiasi
Salama vipi weather huko uliko?Morning Nyagei
AhsanteMaana yake amani itawale
Mimi sio mwalimu wa zamu, mimi ni Kapuku originalAah!!! Mwalimu wa zamu!!!
Lakini na wewe pua unayo [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125], huyu hukimbia kushoto na jf hukimbia kuelekea kuliaMe nimefanya huko WASAPU wewe fanya huku JF
Na kingine nimegundua hawa jamaa HAWANA pua!!![emoji116]
[emoji1] [emoji2] [emoji3] [emoji4] [emoji5] [emoji7] [emoji7] [emoji16] [emoji15] [emoji14] [emoji13] [emoji12] [emoji11] [emoji10] [emoji9] [emoji24] [emoji23] [emoji22] [emoji21] [emoji20] [emoji19] [emoji18] [emoji17] [emoji32] [emoji31] [emoji30] [emoji29] [emoji28] [emoji27] [emoji26] [emoji25] [emoji39] [emoji38] [emoji37] [emoji36] [emoji35] [emoji34] [emoji41] [emoji42] [emoji43] [emoji44] [emoji45] [emoji46] [emoji47] [emoji56] [emoji55] [emoji54] [emoji53] [emoji52] [emoji51] [emoji50] [emoji58] [emoji57]
Bila shaka ni yule wa ulinziPoeni kabisa maana kwa sasa tuna malaika asiyejaribiwa