Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,299
Akili kubwaaNimeona maiti yake haina jeraha kichwani ndio maana nimeuliza
Picha sikuweka kwa sababu maalumu
......
Akili kubwaaNimeona maiti yake haina jeraha kichwani ndio maana nimeuliza
Picha sikuweka kwa sababu maalumu
......
Hitler katika ubora wa hali ya juu kabisa...Aisee, hiyo adhabu ni balaa
Kadhaa=kuficha uhalisia/ukweliHuwa nachukia neno kadhaa.
By the way Hongera blaza kaka Bitoz nyangema
Much
Ni kweli na hakuna kuhoji.Alikoki bastola yake na kuingiza mdomoni kwake kisha kujipiga risasi ( nafikiria ilikuwa hivyo ndivyo alivyojiua)
Haina shaka Dikteta leo historia imekuwa poa sanaLeo katika Historia Nzito:
Kwa udhamini mnono wa Nyerere Day na Bitoz Day sina la ziada, tukutane tena kesho.
Muwe na siku njema.
Nyangema kabsaaHappy birthday [emoji512] bitoz
Nasubiri kuona picha yake
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Ndio alikuwa anapambana na MAFIA au?Kiasi chake, japo alinusurika kuuwawa.
Hitler alikuwa na askari wake wa siri maarufu kama Gestapo, walinusa kila sehemu hadi kanisani walipandikizwa.Laiti angefanikiwa kumuua Hitler.....
Weka pichaNimekaribia
Hakika imesheniAsante sana mkuu mussolin kwa leo katika historia iliyo Shiba
Na sisi tunaamini kuwa adhabu sahihi ya msaliti ni kifo.Ilikuwa adhabu tamu, aonyeshe utam wa kifo kabla hajamuua Hitler
Sawa QUIGLEYKadhaa=kuficha uhalisia/ukweli
1982 - Rais wa wakati huo wa Marekani, Ronald Reagan anatangaza vita dhidi ya wauza madawa ya kulevya.
Ila God is watching usKadhaa=kuficha uhalisia/ukweli
Wana maanisha, sema wabongo tuna roho mbaya ila ni waoga tuIla wale raia wana roho mbaya hatari
Hitler ana undugu wowote na Charlie Chaplin?Ni kweli na hakuna kuhoji.
HakikaHaina shaka Dikteta leo historia imekuwa poa sana
For sureIla God is watching us
[emoji539] [emoji124]Weka picha