Makapuku Forum

Makapuku Forum

1890 - Dwight D. Eisenhower anazaliwa.

Alikuwa ni Jenerali na Rais wa 34 wa Marekani.

Alikuwa ni Kamanda mkuu wa kwanza wa Majeshi ya Nato.
Screenshot_2016-10-14-09-39-19.png
Screenshot_2016-10-14-09-39-56.png
 
1930 - Mobutu Sese Seko anazaliwa.

Alikuwa ni Rais na Dikteta wa zamani wa Zaire, kwa sasa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.

Anatajwa kama Bilionea wa kwanza Mweusi Ulimwenguni.

Alishiriki katika kukamatwa kuuwawa kwa Waziri Mkuu wa wakati huo, Payrice Lumumba.

Alipinduliwa mwaka 1997 na kukimbilia uhamishoni kabla kufariki huko Morocco na kuzikwa hukohuko.
Screenshot_2016-10-14-09-42-48.png
Screenshot_2016-10-14-09-43-20.png
IMG_20161014_094336.jpeg

Kuku
......
 
Leo ni Siku ya Kuzaliwa ya Bitoz.

Ni mmoja kati ya Waasisi wa Makapuku Forum.

Ametimiza miaka kadhaa, hivyi nikiwa kama mkuu wa segment hii, namtakia kila la heri katika siku hii muhimu kwake, Mungu ambariki ampe uhai mrefu zaidi na wenye mafanikio. Amen
Happybirthday Butoz!!!.....nasubiria atakavyotupia tupicha twake[emoji12]
 
Back
Top Bottom