Kitombise
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 8,656
- 25,864
Unakutana na majina ya inabidi ukremu ndo ukasearch fastaPia English Iwe inapanda ndo kusearch tukio itakuwa rahisi
![]()
![]()
![]()
.......
Unakutana na majina ya inabidi ukremu ndo ukasearch fastaPia English Iwe inapanda ndo kusearch tukio itakuwa rahisi
![]()
![]()
![]()
.......
Tunajadili kilichopo mezaniMkuu wewe unazuia wenzako lakini wewe anaendelea?
Nawe unaweza kutuma maombiView attachment 417161View attachment 417162huyu demu Nelly alikuwa anakula
Asante mkuu mussolin kwa leo katika historia murua kabisaLeo katika Historia:
Kwa udhamini mnono wa D.B. Cooper tukutane kesho.
Siku njema.
Powana kwako pia.
NdioMwanamama wa pili kushika wadhifa huo.
HahahahahaWazungu wangezuia siku kama ya leo
![]()
Kafanya vizuriKikofia kajitahidi japo kuleta vipicha moja moja najua alifikiri ni rahisi
Nampongeza kwa kunipunguzia mzigo
![]()
![]()
![]()
........
1938 - E.C. Segar anafariki Dunia.
Alikuwa ni mwanzilishi wa katuni ya Popeye.
Tunawapiga tuThe bold ameleta historia yake kule jukwaa la intelijensia.
Songa mbele, hakuna kurudi nyumaSiyo mchezo aiseee, hii kazi najiuzulu kuanzia muda huu
Sawa sawa kabisaUnaruhusiwa kujadili kile kinacholetwa kwa muda ule.
Mmmh hapa tutadanganywa tu maana hakuna namnaSource masikio & macho yangu mwenyewe
![]()
![]()
![]()
Hahahahahanafikiri kwa kuwa huu ni mwanzo ndo mana inanipa shida sana..
Alafu kama ukichunguza vzuri kuna baadhi ya matukio nmeyaruka ili kwenda na kasi ya dikteta
Magereza wafungwa mtajenga gereza lenu wenyewe lililobomoka kwa tetemeko la ardhi
-Magufuli voice

1986 - Gabriel Agbonlahor anazaliwa.
Ni mwanasoka wa Kiingereza anayekipiga katika klabu ya Aston Villa.
PowaTunajadili kilichopo mezani
HBD Niang1979 - Mamadou Niang anazaliwa.
Ni mshambuliaji wa zamani wa timu ya taifa ya Senegal.
Maarufu kama B-52 alitamba sana katika vilabu kama Marseille, Bekistas na Metz.
HBD Ashanti1980 - Ashanti anazaliwa.
Ni mwanamuziki toka nchini Marekani.
Jina la pili linatakwaje?1986 - Gabriel Agbonlahor anazaliwa.
Ni mwanasoka wa Kiingereza anayekipiga katika klabu ya Aston Villa.