Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,268
- 68,342
Leo ni siku ya Kimataifa ya kuzuia majanga ya asili.
Nami nilikua nahisi hivyo sikua na uhakikaView attachment 417161View attachment 417162huyu demu Nelly alikuwa anakula
1980 - David Haye anazaliwa.
Ni bondia wa uzito wa juu toka nchini Uingereza.
Amecheza mapambano 30, Ameshinda 28, kwa Knock Out ( K.O ) ameshinda mara 26.
Amepigwa mara mbili tu.
Tetemeko la ardhi bukobaLeo ni siku ya Kimataifa ya kuzuia majanga ya asili.
1980 - Scott Parker anazaliwa.
Ni kiungo mkabaji wa Fulham. Aliwahi kucheza timu kama Chelsea, Newcastle United, West Ham, Tottenham na timu ya taifa ya England.
Wakati mwingine ni miujiza tu ya Mungu.Aisee walikuwa na bahati sana, hapa kwetu wote wangekuwa marehemu
Tetemeko la ardhi bukobaLeo ni siku ya Kimataifa ya kuzuia majanga ya asili.
Kweli mkuuWakati mwingine ni miujiza tu ya Mungu.
Mwanamama wa pili kushika wadhifa huo.Sasa yupo Theresa May
Kikofia kajitahidi japo kuleta vipicha moja moja najua alifikiri ni rahisiLeo katika Historia:
Kwa udhamini mnono wa D.B. Cooper tukutane kesho.
Siku njema.
hahaha...labda tumchunguze asili yakeAna undugu wowote na Malkia wa Taarabu?
Upo sahihi.Huyu atakuwa mwanamke wa pili kuwa pm wa uk
1938 - E.C. Segar anafariki Dunia.
Alikuwa ni mwanzilishi wa katuni ya Popeye.
Majanga ya asili unayazuia kivipi, sema kupunguza athari za majanga ya asili mkuuLeo ni siku ya Kimataifa ya kuzuia majanga ya asili.
Jamaa ni bwanyenye haswa. Hiyo shingo yake imenona.Alkuwa waziri mkuu kuanzia mwaka 1983 - 1989
Na akawa rais kuanzia 1989 - 1993 View attachment 417149View attachment 417150
Ahsante na ubarikiwe mukubwaLeo katika Historia:
Kwa udhamini mnono wa D.B. Cooper tukutane kesho.
Siku njema.
Na pia ameanza kujulikana akiwa mzee.Natale hakuwa na bahati, ila alikuwa anajua kufunga