Kitombise
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 8,652
- 25,849
Itifaki izingatiwe.Sasa tuna leo katika historia, tusubiri kwanza iishe ndio tuendelee na story nyingine, maana ni kama hatujitendei haki na vipindi vyetu
Asante mkuu kazi njemaLeo katika Historia:
Kwa udhamini mnono wa D.B. Cooper tukutane kesho.
Siku njema.
The bold ameleta historia yake kule jukwaa la intelijensia.Leo katika Historia:
Kwa udhamini mnono wa D.B. Cooper tukutane kesho.
Siku njema.
Ila siku hizi Mabondia wa shoka wameisha. Wapo wajanja wajanja dizaini ya akina Mayweather.Uwezo wa juu
Huku kijijini kwetu tulikuwa tunamwita " Bubu "View attachment 417158View attachment 417159alikiwa fundi sana huyu
Unalizuiaje hilo hahahahahaTetemeko la ardhi bukoba
Kikofia kajitahidi japo kuleta vipicha moja moja najua alifikiri ni rahisi
Nampongeza kwa kunipunguzia mzigo
![]()
![]()
![]()
........
Siyo mchezo aiseee, hii kazi najiuzulu kuanzia muda huuHakuwa na mambo mengi uwanjani, zaidi ya kujua kukaba tu.Parker alikuwa yuko vizuri sana
Unaruhusiwa kujadili kile kinacholetwa kwa muda ule.Mkuu wewe unazuia wenzako lakini wewe anaendelea?
Thawa papaa mupao, welikamu![]()
![]()
Magazeti yanawajia kwa udhamini wa Kikofia mzee wa mapichapicha
![]()
![]()
![]()
.......
Mmeambiwa mjenge wenyewe vibanda vyenu kwani tetemeko halikuletwa na CCM.Tetemeko la ardhi bukoba
Hii ya polisi kushambuliwa na mishale imetokea Kilimanjaro wilaya ya Mwanga
Kiasi chake amefanya poa. Unaweza ukaendelea...Kikofia kajitahidi japo kuleta vipicha moja moja najua alifikiri ni rahisi
Nampongeza kwa kunipunguzia mzigo
![]()
![]()
![]()
........
Ilikuwa poa sana.View attachment 417182hii cartoon mmeiangalia sana, kipindi hicho inaonyeshwa ITV