Makapuku Forum

Makapuku Forum

1923 - Margaret Thatcher anazaliwa.

Alikuwa ni Waziri Mkuu wa Uingereza kwanzia Mwaka 1979 - 1990

Alijulikana kama " Iron Lady " kwa uongozi wake uliotukuka na alipewa jina hilo na mwandishi wa habari toka nchini Urusi.

Ndio Waziri Mkuu wa kwanza Mwanamke katika historia ya Uingereza. Pia ndio alikuwa Waziri Mkuu aliyekaa madarakani kwa muda mrefu zaidi Uingereza katika karne ya 20.

Katika utawala wake alikuwa na urafiki mkubwa sana na Rais wa Marekani wa kipindi hiko, Ronald Reagan.
Sasa yupo Theresa May
 
1476336600507.jpg
1476336609837.jpg
 
1979 - Wes Brown anazaliwa.

Ni mchezaji wa zamani wa Man Utd, Sunderland na timu ya taifa ya England.

Ni beki aliyekuwa haongei sana uwanjani ila shughuli yake ni pevu. Kwasasa hana timu.

Ameshinda Ubingwa wa ulaya mara mbili akiwa na Man Utd.
 
Back
Top Bottom