shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Natale hakuwa na bahati, ila alikuwa anajua kufunga1977 - Antonio Di Natale anzaliwa.
Ni mshambuliaji wa zamani wa Udinese na timu ya taifa ya Italy.
Natale hakuwa na bahati, ila alikuwa anajua kufunga1977 - Antonio Di Natale anzaliwa.
Ni mshambuliaji wa zamani wa Udinese na timu ya taifa ya Italy.
Sawa kabisaHuwa namshukuru kwa Neema anazonipatia kila kukicha
Mkuu umejuajeNatale hakuwa na bahati, ila alikuwa anajua kufunga
Eti zaidi ya nyumba 3000 zimejengwa lakini hazina hati hivi kweli tuko serious halafu serikali wakitaka kutanua barabara/kujenga tunataka tulipwe fidia kivipi wakati ni eneo LA serikali.??Kweli kabisa
Sasa tuna leo katika historia, tusubiri kwanza iishe ndio tuendelee na story nyingine, maana ni kama hatujitendei haki na vipindi vyetuSawa kabisa
Huwa namshukuru kwa Neema anazonipatia kila kukicha
1977 - Antonio Di Natale anzaliwa.
Ni mshambuliaji wa zamani wa Udinese na timu ya taifa ya Italy.
Uwezo wa juu1980 - David Haye anazaliwa.
Ni bondia wa uzito wa juu toka nchini Uingereza.
Amecheza mapambano 30, Ameshinda 28, kwa Knock Out ( K.O ) ameshinda mara 26.
Amepigwa mara mbili tu.
Magonjwa ya akili hayo ndugu yanguEti zaidi ya nyumba 3000 zimejengwa lakini hazina hati hivi kweli tuko serious halafu serikali wakitaka kutanua barabara/kujenga tunataka tulipwe fidia kivipi wakati ni eneo LA serikali.??
Sawa mkuuSasa tuna leo katika historia, tusubiri kwanza iishe ndio tuendelee na story nyingine, maana ni kama hatujitendei haki na vipindi vyetu
1979 - Wes Brown anazaliwa.
Ni mchezaji wa zamani wa Man Utd, Sunderland na timu ya taifa ya England.
Ni beki aliyekuwa haongei sana uwanjani ila shughuli yake ni pevu. Kwasasa hana timu.
Ameshinda Ubingwa wa ulaya mara mbili akiwa na Man Utd.
Parker alikuwa yuko vizuri sana1980 - Scott Parker anazaliwa.
Ni kiungo mkabaji wa Fulham. Aliwahi kucheza timu kama Chelsea, Newcastle United, West Ham, Tottenham na timu ya taifa ya England.
1979 - Mamadou Niang anazaliwa.
Ni mshambuliaji wa zamani wa timu ya taifa ya Senegal.
Maarufu kama B-52 alitamba sana katika vilabu kama Marseille, Bekistas na Metz.
Mkuu wewe unazuia wenzako lakini wewe anaendelea?Parker alikuwa yuko vizuri sana
Duuh jamaa alikua vizur1980 - David Haye anazaliwa.
Ni bondia wa uzito wa juu toka nchini Uingereza.
Amecheza mapambano 30, Ameshinda 28, kwa Knock Out ( K.O ) ameshinda mara 26.
Amepigwa mara mbili tu.
1980 - Ashanti anazaliwa.
Ni mwanamuziki toka nchini Marekani.
Yuko wapi siku hizi, sijamuona siku nyingi sanaView attachment 417160kacheza African cup kuanzia 2004-2006-2008