Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,605
Hapa nchini hii siku ipo kweli?Leo ni siku ya Polisi nchini Thailand.
Hapa nchini hii siku ipo kweli?Leo ni siku ya Polisi nchini Thailand.
Yule jamaa ndo mambo yake hayo, nafuatilia sana mada zake kuleAmeitafsiri vyema sana.
Mkuu hayo majanga ya asili unayazuiaje?Leo ni siku ya Kimataifa ya kuzuia majanga ya asili.
Usikate tamaaAlafu unahitaji pia uwe na kasi ili uweze kwenda sambamba na Mussolin5 hapo ndo kazi sasa.
Zawadi tutakuzawadia demu mpya (miss chaga) aliyekuja hapa hv karibuni
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Magereza wafungwa mtajenga gereza lenu wenyewe lililobomoka kwa tetemeko la ardhi
-Magufuli voice
Duu hii kazi inakufaa mwenyewe
Ahsante sana mkuu na kwako piaLeo katika Historia:
Kwa udhamini mnono wa D.B. Cooper tukutane kesho.
Siku njema.
Wazi afande.[emoji61] timamu afande
Alafu unahitaji pia uwe na kasi ili uweze kwenda sambamba na Mussolin5 hapo ndo kazi sasa.
Zawadi tutakuzawadia demu mpya (miss chaga) aliyekuja hapa hv karibuni
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Source masikio & macho yangu mwenyeweWEKA SOURCE NA SAUTI
Wapare wamegeuka jamii ya maasaiWapare hawapendi mchezo mchezo.
Itabidi tufanye intelijensiahahaha...labda tumchunguze asili yake
[emoji23] nafikiri kwa kuwa huu ni mwanzo ndo mana inanipa shida sana..Usikate tamaa
Ipo siku itakuwa mkali na tutakuachia mikoba
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
.......
Leo ni siku ya Kimataifa ya kuzuia majanga ya asili.
Pamoja sana bablai.Ahsante sana mkuu na kwako pia
Siyo mbaya[emoji23] nafikiri kwa kuwa huu ni mwanzo ndo mana inanipa shida sana..
[emoji2] Alafu kama ukichunguza vzuri kuna baadhi ya matukio nmeyaruka ili kwenda na kasi ya dikteta
Pia English Iwe inapanda ndo kusearch tukio itakuwa rahisiDuu hii kazi inakufaa mwenyewe
PowaUnaruhusiwa kujadili kile kinacholetwa kwa muda ule.
Leo ni siku ya Polisi nchini Thailand.
HahHahahahaha[emoji2] Siyo mchezo aiseee, hii kazi najiuzulu kuanzia muda huu