Kitombise
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 8,735
- 26,078
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Huku kijijini kwetu tulikuwa tunamwita " Bubu "
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Huku kijijini kwetu tulikuwa tunamwita " Bubu "
Yote sawa.Majanga ya asili unayazuia kivipi, sema kupunguza athari za majanga ya asili mkuu
Pamoja bablai.Ahsante na ubarikiwe mukubwa
Sawa kubwa lao.![]()
![]()
Magazeti yanawajia kwa udhamini wa Kikofia mzee wa mapichapicha
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.......
Bwanyenye umenikumbusha soma la siasa miaka ile nilipokuwa o level, Kabaila, beberu, n.k.Jamaa ni bwanyenye haswa. Hiyo shingo yake imenona.
Jambo!Jambo afandeView attachment 417183[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu mi ningependa ajitokeze wa kunizaidia lakini kila anayejaribu anapwaya binafsi nilikuwa nakuangalia unavyojitahidi[emoji2] Siyo mchezo aiseee, hii kazi najiuzulu kuanzia muda huu
Wazungu wangezuia siku kama ya leoUnalizuiaje hilo hahahahaha
Magereza wafungwa mtajenga gereza lenu wenyewe lililobomoka kwa tetemeko la ardhiMmeambiwa mjenge wenyewe vibanda vyenu kwani tetemeko halikuletwa na CCM.
Sawa mkuuItifaki izingatiwe.
Hahahahaha![]()
![]()
Magazeti yanawajia kwa udhamini wa Kikofia mzee wa mapichapicha
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.......
[emoji61] timamu afandeJambo!
Ila ukichunguza kwa umakini kama linaukweli kuwa halikuletwa na fisiemu tujitahidi kujenga hata za udongoMmeambiwa mjenge wenyewe vibanda vyenu kwani tetemeko halikuletwa na CCM.
Jenerali ( rtd ) Waitara kumbe tupo.
na kwako pia.Asante mkuu kazi njema
Ameitafsiri vyema sana.The bold ameleta historia yake kule jukwaa la intelijensia.
Alafu unahitaji pia uwe na kasi ili uweze kwenda sambamba na Mussolin5 hapo ndo kazi sasa.Mkuu mi ningependa ajitokeze wa kunizaidia lakini kila anayejaribu anapwaya binafsi nilikuwa nakuangalia unavyojitahidi
Hiyo ni kazi ngumu hasa kumatch picha na tukio linalosemwa
Pia kutafuta picha zenye mvuto
N KIPAJI
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
......
..
WEKA SOURCE NA SAUTIMagereza wafungwa mtajenga gereza lenu wenyewe lililobomoka kwa tetemeko la ardhi
-Magufuli voice
Wapare hawapendi mchezo mchezo.Hii ya polisi kushambuliwa na mishale imetokea Kilimanjaro wilaya ya Mwanga