Makapuku Forum

Ujumbe wa Leo..
 
Una moyo sana, yani mpenzi kapotea na unaenda kupata lunch?? Haya enjoy

Kwangu mie Jimena will come first before anythng n anybody, siwezi kula kama mtoto ana kiu
Siwezi lala kama mtoto ana hofu
Nitamlinda dhidi ya njaa, kiu, hofu, upweke, baridi, joto na unyonge.

Kwa jimea huyu ntasacrifice all just to see that beautiful smile on her beautiful face🙁🙁🙁
 
Nashukuru sana mwanakamati na naomba umwite na mpenzi wangu sasa umueleweshe maana alishaanza kunihukumu na yeye kupitia ulichosema pale juu amaizing nakupenda sana mae..
Cc amaizing hebu pita hapa uone mahaba yalivyozidi, yani ukipoteza nafasi hii.... Nakuhahakikishia kumpata wa aina hii itachukua muda hivyo muelewe tu, hakusema yale kwa nia mbaya
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…