EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 11,177
- 25,510
Ama kweli ulimpata kwa kishindo, hongera kaka.Mkuu tena si kumpata tu ongezea kumpata kwa kishindo..
Ama kweli ulimpata kwa kishindo, hongera kaka.Mkuu tena si kumpata tu ongezea kumpata kwa kishindo..
Ha ha haaaa....mwanaume huwa anakomaa mpaka dakika ya mwisho eti...kama vipi basi bhana, nisije nikafumwa bure naona maongezi yenyewe yashakuwa marefu
Huyo nadhani atakuwa hamjui baby wangu vizuri.Nami ndivyo nilikuwa naamini ndiyo maana nikapata mshtuko na sentensi ya everlenk
Noa kisu mkuu....icje kuwa umeishiwa makali mpaka wanakuibiaHajaliwa bwana[emoji27] [emoji27] [emoji27]
Asante mkuu.Nimemtuma njiwa wangu ampelekee salamu...amwelezeeeee afahamuuuuu...kuwa unapata tabuuuuu
Nafurahi kusikia hili ndugu angu..Ama kweli ulimpata kwa kishindo, hongera kaka.
[emoji3] [emoji3] [emoji3]siku hizi wachawi ni vijana wadogo sana
Huyu jamaa kweli sijui kapotelea wapi?damtanzania eti ni kweli huwa unaishi kijijini ndo maana umepotea ghafla!?
Nilikuwa sijui ila sumbai ndo amesema.
kusema ukweli nilitaka uwe mchepuko, nina mke humuHa ha haaaa....mwanaume huwa anakomaa mpaka dakika ya mwisho eti...
Usijali shemeji natumai yuko salama.Unajua shemeji kuna vipanga wengi sana huku na ndiyo maana napata wasi juu ya Shemji yangu Nahrene kama upo alipo yupo salama ama..
Una experience the difference basi kazi anayo ukikuta more sweet utamsimlia au?Siku hizi mambo yamebadilika beby,tuna"Experience the difference" eti.
wewe ni mchawi[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Unamaanisha nini kwa mfano!?
Ha ha haaa....niliona kila dalili nikajiongeza lol.kusema ukweli nilitaka uwe mchepuko, nina mke humu
Hahaha,usinitishe mkuu.Noa kisu mkuu....icje kuwa umeishiwa makali mpaka wanakuibia
Noma saaana hii kasiMkuu hii kasi unaionaje lakin?
Ndugu yangu kwanza sintokuahau kwa sala murua uliyomwongoza kwa sasa mpenzi wangu amaizing jana mpka akalegeza moyo ila..wewe ni ndugu yangu bwana sikufichi kitu ebu jaribu kumsalimia Patience123 kidogo..Na maono fulani juu yenu..Manuu wapi sasa, hata salam hakuna umesahau kazi yangu ya jana mkuu