Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kwangu mie Jimena will come first before anythng n anybody, siwezi kula kama mtoto ana kiu
Siwezi lala kama mtoto ana hofu
Nitamlinda dhidi ya njaa, kiu, hofu, upweke, baridi, joto na unyonge.

Kwa jimea huyu ntasacrifice all just to see that beautiful smile on her beautiful face🙁🙁🙁
hapo naanza kukuelewa kama utaendelea na mistari hii zaidi na zaidi kwa muda wa siku 3 basi ombi lako linaweza kufanikiwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom