shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Morning QuigleyMorning shulu
Morning QuigleyMorning shulu
1976 - Gilberto Silva anazaliwa.
Ni kiungo wa kukaba wa zamani wa Arsenal na timu ya taifa ya Brazil.
Alikuwa anajulikana kama " Ukuta usioonekana "
He is Underrated.Huyu jamaa hajawahi kuwa na zali tu, ila niamin mimi huyu ni mmoja kati ya washambuliaj bora niliowahi kuwashuhudia epl
Nickname
Vipi hali kaka!!Morning kiongozi
Saa hizi wengine misituni huko kama ngedere..Ina maana asinge waua Basi wachina wangekuwa wanaishi baharini kama samaki![]()

Mbona walistsaf mapema mnoo!!?Hiyo picha hapo chini, Ni Kanali Kinana akiwa na Luteni Kanali Kikwete siku ya kustafu kwao utumishi Jeshini wakiwa Kambi ya 831 KJ, Mgulani JKT.
Hiyo picha hapo chini, Ni Kanali Kinana akiwa na Luteni Kanali Kikwete siku ya kustafu kwao utumishi Jeshini wakiwa Kambi ya Mgulani JKT.
1976 - Santiago Solari anazaliwa.
Ni mchezaji wa zamani wa Real Madrid na Timu ya taifa ya Argentina.
Hapo nmekusomaHii ni baada ya USSR kuvunjika, hivyo kwanzia mwaka 1990 ilijulikana kama Urusi. Na hapo ndipo walipoanza kuhesabu Marais wao wapya.
Thank you Bitoz an' nice day to you
Uchawi nyota sijui au uwepo wa galacticos kikosini..hahaha...hakupewa sifa anazostahili.
Kuna ubaya gani hadi werra aulize?Alinitell jana nimsaidie kuyaleta leo
Kwani si kuna PM
..........

Fanya hvyo nikusifu basi!!tunamalizia kiporo cha jana..................
1982 - Jermain Defoe anazaliwa.
Straika wa zamani wa Spurs, Portsmouth, West Ham kwasasa Sunderland na timu ya taifa ya Uingereza.
Anasifika kwa mashuti na spidi awapo uwanjani.
Hajawahi kuniangusha!! Style yake ya uchezaji mpaka utupiaj kambaniHe is Underrated.
The BoldYap. Kuna jamaa ameielezea kwa uzuri sana hapahapa JF.
Duuu wa 85 wakati wengine ndo tuko 5????1912 - Fernando Terry anazaliwa.
Alikuwa ni Rais wa 85 wa Peru.
OKHiyo picha hapo chini, Ni Kanali Kinana akiwa na Luteni Kanali Kikwete siku ya kustafu kwao utumishi Jeshini wakiwa Kambi ya 831 KJ, Mgulani JKT.
Hiyo picha hapo chini, Ni Kanali Kinana akiwa na Luteni Kanali Kikwete siku ya kustafu kwao utumishi Jeshini wakiwa Kambi ya Mgulani JKT.