Makapuku Forum

Makapuku Forum

1952 - Vladmir Putin anazaliwa.

Ni Rais wa 4 wa Urusi. Ni mmoja kati ya viongozi imara wanaoifanya Urusi kuendelea kuwa Imara mpaka sasa.

Alipata kuhudumu katika Jeshi la Urusi na kufikia cheo cha Kanali.

Pia ni moja kati ya majasusi mahiri kuwahi kutokea katika historia ya KGB.

Pia anasifika kwa Martial arts.
Rais wa 4!!
hii imekaaje kaka, naona ni taifa kongwe sasa vipi idadi ya rais iko hv!!?
 
1973 - Dida anazaliwa.

Ni golikioa wa zamani wa Ac Milan na timu ya taifa ya Brazil.
Screenshot_2016-10-07-10-34-56.png
Screenshot_2016-10-07-10-34-41.png
Screenshot_2016-10-07-10-34-21.png

Yanga yupo feki
......
 
View attachment 413839View attachment 413840View attachment 413841View attachment 413842
"Rahisi" Jk na Kinana enzi za jeshi
JK aliishia kwenye Uluteni Kanali(Ngao + nyota moja)
.......
Hiyo picha hapo chini, Ni Kanali Kinana akiwa na Luteni Kanali Kikwete siku ya kustafu kwao utumishi Jeshini wakiwa Kambi ya 831 KJ, Mgulani JKT.
View attachment 413839View attachment 413840View attachment 413841View attachment 413842
"Rahisi" Jk na Kinana enzi za jeshi
JK aliishia kwenye Uluteni Kanali(Ngao + nyota moja)
.......
Hiyo picha hapo chini, Ni Kanali Kinana akiwa na Luteni Kanali Kikwete siku ya kustafu kwao utumishi Jeshini wakiwa Kambi ya Mgulani JKT.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom